MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,227
wakuu, habari za Asbh, natumai mu wazima.....Jana katika pitapita yangu Maeneo fulani hapa Dar TZ nikakutana na kijana Jina lake nalihifadhi, Form six alipata one ya PCM na kuchaguliwa kujiunga na Chuo UDSM mlimani kozi ya Miamba na Madini, yupo mwaka wa kwanza na amepata hifadhi ya malazi pale Mabibo hostel......
ameniambia alipata mkopo wa Board mikopo kwa 98% na akaambiwa alipe hiyo asilimia mbili iliyobaki na apeleke Risiti kwa Board, na alifanya hivyo...lakini wakati anaendelea na Chuo Mkopo wake ukafutwa kwa asilimia zote na hata ile pesa aliyolipa hakurudishiwa......Amejaribu kwenda kwa Board ya mikopo lakini anakutana na jibu moja tu kuwa Board haina fedha........
Hana wazazi anakaa na Bibi yake na Mjomba yake maeneo ya Kiwalani wamejaribu kujichanga wameshindwa kwani nae dogo anasema amekuwa akitoka Chuo kwenda Kiwalani kufanya Vibarua na akipata pesa kama Tshs 20,000 anarudi chuo kusogeza siku.......Ameniambia alikuwa na ndoto ya kumaliza Chuo lakini hana matumaini na ndio maana yupo hapa nilipomkuta amelala chini ya Mti maeneo haya karibu na hosp ya Ocean Road......
Nimesikitika sana........nimeumia sana........nimempa namba yangu ya simu tuwasiliane sijui nimsaidiaje............??!!!! wenye ufahamu na jambo hili hebu tumsaidie huyu Dogo.....bila kajali kabila lake la KIHAYA kwani shida haina kabila na kutoa ni Moyo....
BOARD ya Mikopo na Serikali angalieni hawa.......Je Mmeshindwa kuwatambua wenye mahitaji ya kweli.........?????!!!!