rosita
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 482
- 350
Wadau habari za jioni
Nimeomba mkopo NMB tawi moja la mkoa wa kilimanjaro..nikapewa form na kukamilisha taratibu zote ndani ya siku mbili na kurudisha form tar 15/Nov na yule loan officer aliniambia huwa inachukua siku mbili za kazi mkopo kuingia kwenye account lakini mpk ninavyoongea haujaingia na mshahara nimeanza kukatwa na nilimfuata kuongea nae kama niambia kuna official issues inaendelea so unaweza ingia na mshahara wangu wa december...
I was so disappointed coz lengo la kuapply mkopo ilikuwa ni kununua plot ambayo nilipata kwa bei chee na imeshanunuliwa na kuongea capital ya biashara yangu
Naomba wadau mnishauri najua nmb wengine mpo huku kuwa ni kawaida mkopo kuchukua muda mrefu hivyo au kuna kitu nafichwa ...