Mkopo Mpya kutoka WB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkopo Mpya kutoka WB

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jamco_Za, May 9, 2009.

 1. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hivi tunaweza kupata jinsi ya kulinda hizi pesa zinazopokwa na serikali zisiishie kwenye uchaguzi mwaka kesho maana napata tabu kuna njia nyingi zitatumika kuakikisha wanapata pesa ya uchaguzi hata tukibana kiasi gani
   

  Attached Files:

 2. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  I don't think so. Kama unafahamu jinsi WB (and other agencies) wanavyo-operate, then ni dhahiri hakuna jinsi utakavyoweza kutumia pesa ya mradi kwa ajili ya uchaguzi. They have very robust monitoring systems. Na pesa inatoka kwa installment, kutegemeana na performance. Ni vigumu kuhujumu pesa ya mradi . Hata ukihujumu, ni lazima "deliverables" zionekane. Imagine wewe ni project/program manager, uliyeajiriwa na WB or jointly na Serikali na WB. Wewe ndio signatory kwa matumizi yote ya pesa ya mradi. Kuna objectives na action plan, detailing what to do and when. Na kila mwaka or baada ya miezi mitatu, Ofisa Miradi kutoka WB anakuja kukagua utekelezaji. Vilevile, kila baada ya miezi 3 ni lazima uwasilishe taarifa ya utekelezaji. Ni kwa namna gani uchaguzi utaingia kwenye kazi za mradi? Pesa inayohujumiwa siku hizi ni ya kodi.

  By the way, value ya huu mradi ni kiasi gani? Duration?
   
Loading...