Wana JF,
Nakuja kwenu naomba mnisaidie mwanaJF mwenzenu mkopo WA Mil 6, hata kwa riba ambapo nitaanza kulipa baada ya mwezi mmoja. Nina gari na kiwanja. Gari daladala naweza kuacha kadi, kiwanja kina Leseni ya makazi.
Be specific,
Unarudisha lini?
Uko tayari kwa riba kiasi (%) ngapi?
Na ukishindwa kurudisha ndani ya huo muda then iweje?
Otherwise kama terms ziko poa tutafutane
Be specific,
Unarudisha lini?
Uko tayari kwa riba kiasi (%) ngapi?
Na ukishindwa kurudisha ndani ya huo muda then iweje?
Otherwise kama terms ziko poa tutafutane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.