Mkopo mkopo mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkopo mkopo mkopo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by sweetdada, Apr 15, 2011.

 1. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Habari wanajamvi,

  Natafuta mtu anayekopesha kwa interest tafadhali.
  kama kuna anayefanya hiyo service au anafahamu please nifahamishe.
  Microfinances masharti ni mengi.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. duda

  duda Senior Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna dada namjua hua anakopesha na interest yake hua ni 20% pia ni lazima umuachie kama ni gari au documents zako zozote muhimu.
   
 3. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  My dear, ebu fikiria kwanza weka plans zako vyema, usije ukapoteza hata hicho kidogo ulichonacho. Jaribu kuwatembelea Akiba bank. Ni bora masharti yawe mengi lakini riba ndogo na pia banks wanaweza kuongezea muda wa kulipa. Lakini mtu binafsi sidhani. Tafakari
   
 4. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu Wasiliana na Huyu Bwana +255716168237/ +255784232336/+255787168237. Anakopesha kwa 30% pia huhitaji security.
   
 5. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Toa contact zake.
   
 6. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Duh! hapo kwenye red paogope kama ukoma!
   
 7. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mtu kwa kweli ni kukaa kufikiria haswa kama mkopo kweli ndio solution unayohiitaji sasa hivi

  Maana unaweza kopa then tumia then kaa miezi miaka unaishia kulipa deni tu na ulichotumilia pesa hakikuwa then kitu cha kukusumbua kichwa

  Kama kiwanja eehhh

  maana 30 au 20 % rahisi kuitaja ila duh

  Mie huu ni ushauri kwa wengine humu maana nimeona watu wanajuta sana as saa ingine hiyo hiyo pesa ungekuwa unasevu pembeni kila mwezi kwa lengo hilo ungekuwa mbali nacho na hakuna deni
   
Loading...