SuperHb JF-Expert Member Mar 21, 2016 897 697 Jul 21, 2020 #1 Kama kichwa cha habari hapo juu, Hivi inawezekana anayetaka kusoma DIPLOMA akaomba Mkopo au ni kwajili ya wanaosoma degree tu? Naomba kuwasilisha
Kama kichwa cha habari hapo juu, Hivi inawezekana anayetaka kusoma DIPLOMA akaomba Mkopo au ni kwajili ya wanaosoma degree tu? Naomba kuwasilisha
Mchokozi wa mambo JF-Expert Member Mar 27, 2014 201 159 Jul 21, 2020 #2 Haiwezekani ongeza bidii utoboe ukasome bachelor degree Mkopo unaanza kutolewa kuanzia hapo