Mkopo kwa diploma

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
835
Jaman naulizia mkopo kwa diploma jee naweza kupata
Jee kuna watu walowahi kupata?
 
Diploma gan hiyo hasa make diploma na nyingi kozi gan hasa..?? Umesomea masomo gan na unataka ukasomeee kozi gana hasa..?? Lakin kabla hatujafika mbali..kuna kitu kinaitwa special diploma ambayo mwanzoni walichukuliwa kwenda kusoma pale UDOM na walipewa mkopo pamoja na hela ya kujikimu(BUMU) lakini utawala wa magufulu umetupilia mbali swala hilo na umeona kabsa kuwa wamerudishwa nyumbani wote waliokuwa wanapata ofa hiyo...cha msingi labda upate sponsor akulipie ndo itakuwa ofer hiyo but for dis time serikli imefutilia mbali swala hilo..nafikir utakuwaashahid kwa kilichotokea udom mwezi uliopita..
 
Iliwahi kutokea udom tu,lakini kwenye nchi haki iliyojaa wa tu wenye roho za kwa nini hakuna ktu kama hicho
 
Back
Top Bottom