Mkopo kwa dhamana ya vyeti

delly

Member
Mar 24, 2010
55
6
DHAMANA YA AJIRA: Waziri wa Kazi na Ajira, G. Kabaka kwa kushirikiana na benki ya CRDB, awataka wasomi kuweka vyeti vyao dhamana ili kupata mkopo wa ajira CRDB.Mwenye uelewa na hili atujuze mana siwaelewi ndio wanataka watunyang'anye na vyeti?
 
Kwa knowledge ndogo ninayoijua huo mkopo ni sawa tu na mikopo mingine...katika types za collateralz/securities au zamana kwa kiswahili kuna land as a security. Mirtigage, debentures, life assurance na muscelinuous or goods as a security. Vitu vyote hivi vinaweza jua zamana katika mkopo...ila hapo kwenye miscelinious as a security ndipo zana ya cheti ulipoibukia kwani katika group hilo ni group la chochote kile cha samani unachomiliki ikiwemo na cheti chako pia...
 
Ila kiukweli ukiangalia siyo sawa sana kupokea vyeti kama dhamana, hasa ukizingatia kuwa mkopo unaopewa kuna kurudisha na kushindwa kuurudisha.

Katika mazingira amabapo aliyekopeshwa amenufaika na mkopo na amerejesha fedha, mambo ni shwari tu. Hebu tuangalie ule upande mwingine ambapo mkopaji ameshindwa kuurejesha mkopo. Pale kunafuata hasara jumla kwa wote. Mkopaji atashindwa hata kutafuta kibarua cha kujikimu kimaisha kwa kuwa vyeti vimeshikiliwa na benki. Pia kwa upande mwingine benki haiwezi kurudisha fedha zake kwa kuuza vyeti hivyo. Kwa hiyo mwenye vyeti anakwama jumla na benki inashindwa kufidia madeni.

Je! njia hii ni nzuri katika kusaidia kukua uchumi wa mtu binafsi na taifa kwa ujumla?
 
Analysis yakutosha inaitajika hapa kwenye loan screaning and assessment ili kuepukana na matatizo yanayosababishwa na information asymmetry ambayo ni moral hazard na adverse selection kwa mteja...pia, mpaka kimei anatangaza hili tayari ameishafanya research yakutosha kwani uku kwetu ndio linaonekana swala hili ni geni ila UK na sehemu nyingine barani Europa hii system imeonekana iki work vizuri for mda mrefu
 
mdau changamoto ya benk zetu ni riba,,,,kubwa sanaaaaa,na kingine wangetoa mwanya kwa benk nyingi si lazima iwe crdb,,,,,
 
Kama yalivyo makampuny ya mitandao, mabenk nao wanaruhusiwa kuadopt marketing competitive strategies za bank nyingine so longer iwe na manufaa tu kwao...hivyo ni ruksa kwa all banks na non-banks deposit taking financial institutions kama TPB na TWIGA Bancorp....
 
Analysis yakutosha inaitajika hapa kwenye loan screaning and assessment ili kuepukana na matatizo yanayosababishwa na information asymmetry ambayo ni moral hazard na adverse selection kwa mteja...pia, mpaka kimei anatangaza hili tayari ameishafanya research yakutosha kwani uku kwetu ndio linaonekana swala hili ni geni ila UK na sehemu nyingine barani Europa hii system imeonekana iki work vizuri for mda mrefu

Kama assessment zimefanyika! Tatizo ni kuwa hapa kwetu tuna uzoefu wa kushindwa karibu kila kitu. Nahofia kusijekuwa na wahanga wa elimu zao hapo baadaye!
 
moja ya sifa ya dhamana ni endapo mkopaji akishindwa kulipa. basi benki itaitumia ile dhamani kwa kuiza ili kurudisha pesa zao.sasa hapo kwenye cheti ikitokea mkopaji akishindwa sijui cheti kitauzwa wapi
 
Mh hii mbna haieleweki, sasa nikishindwa kurudisha mkopo wao watakitumia vip cheti kurudisha pesa yao
 
Maswala ya kurudisha hela yao yako mikononi mwao, kazi yako wew umeshaambiwa kakope peleka vyeti bhaaasi. Mi naamin hakuna kitu kinafanywa hivihivi bila ya faida kwenye dunia ya capitalist economic bases. Kama mtu anakupa tones of vyandarua na madawa unategemea hafaidiki? Kwake yeye anajua atakubana wapi.

Vijana kama hata mkopo hujachukua lakin unawaza kufail kibiashara huko ni kutojiandaa na uoga wa kutumia fursa pindi itokeapo. Tusiwe waoga...cha msingi tengeneza business plan yako safi and work on it u can succeed always.
 
Shukrani mkuu kwakuwatoa ofu watu humu ndani..mi nilianza kuwaileza kwa kiutaalam zaidi kuusu mikopo ila baadae nilitambua kua sio watu wote humu ndani ni Certified Professional Banker (CPB) holders hivyo nilijikuta nikiongea mwenyewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom