mkopo kwa ajili ya bbiashara ya bia na nyama choma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkopo kwa ajili ya bbiashara ya bia na nyama choma

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mtende, Oct 25, 2012.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  habari wadau
  nahitaji mkopo nimepata sehemu(baa ili niweke jiko la nyama choma pamoja na bia maana mwenye baa mwenyewe anadeal zaidi na wine pamoja na pombe kali,tatizo linakuja sina mtaji wa kuanzia nahitaji kama milion 1.5 hebu nisaidieni hapa
   
 2. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Hizo gharama umezipataje inabidi uzifafanue mtu yeyote hata bank anahitaji maelezo kwa kina hakuna mtu atakayetoa pesa kwa kuambiwa tu nahitaji mkopo wa kufanya biashara na gharama yake ni hii hapa
   
 3. m

  masagati JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  toa mchanganuo ,uko wapi,dhamana nini,na uludisha kwa muda gani?
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  nipo hapa dar ndugu,narudisha kila mwezi laki tano pamoja na riba juu,dhamana ni makubaliano kati yangu na mkopeshaji kutokana na yeye atakavyotaka
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  dhamana kauli... si machezo...
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  sio kauli,some assets
   
 7. m

  masagati JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  usiwe mvivu wa kujieleza sema nini dhamana yako na taja kiasi pia toa mchanganuo.
   
Loading...