Naweza kupata mkopo kutoka diploma to bachelor?

jofujulius09

Senior Member
Mar 9, 2017
105
50
Habar JF ningpenda kujua ivi kutoka diploma kwenda degree kwa kozi ya IT naweza chukua mkopo??.
 
kwa siku za nyuma ungepata bila shaka,,lkn kwa experience ya mwk jana nina mashaka..
 
Habar JF ningpenda kujua ivi kutoka diploma kwenda degree kwa kozi ya IT naweza chukua mkopo??.
Mkopo unaweza kuchukua bank yoyote kama unadhamana lakini kama unazungumzia kuomba mkopo bodi ya Mikopo ya elimu ya juu huko huchukui bila kupewa kutokana na kuwa na vigezo vinavyowaridhisha watoaji, Jaribu usikate tamaa
 
Duuh kwan bod ya mikopo wanataka vigezo vp mkuu
 
Back
Top Bottom