ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,105
- 3,476
Hivi hawa azam kwa nini hawakuanzisha huduma ya kukopa kifurushi kama tunavyoona kwa mitandao ya simu nipige tafu ama nivushe ?
yani niko home kingamuzi kimekata afu sentano sina nawaza hapa nitaonaje simbadei.
kadiri muda unavyokwenda ndio naona simbadei ishanipita hivyo.
endapo wangekua wana huduma hii ya loni mambo yangekua poa sana.