Mkopo kifurushi cha Azam

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,086
3,437
Hivi hawa azam kwa nini hawakuanzisha huduma ya kukopa kifurushi kama tunavyoona kwa mitandao ya simu nipige tafu ama nivushe ?
yani niko home kingamuzi kimekata afu sentano sina nawaza hapa nitaonaje simbadei.
kadiri muda unavyokwenda ndio naona simbadei ishanipita hivyo.
endapo wangekua wana huduma hii ya loni mambo yangekua poa sana.
 
Nenda kwenye maombi mkuu!!! Wewe huoni unaenda hasara tu!! Kuangalia simba day unatumia gharama ila hupati faida yoyote huoni huo ni upumbavu!! Achana na mambo ya hovyo!! Mtafute Mungu!!! Ndo umilele wako
 
Hivi hawa azam kwa nini hawakuanzisha huduma ya kukopa kifurushi kama tunavyoona kwa mitandao ya simu nipige tafu ama nivushe ?
yani niko home kingamuzi kimekata afu sentano sina nawaza hapa nitaonaje simbadei.
kadiri muda unavyokwenda ndio naona simbadei ishanipita hivyo.
endapo wangekua wana huduma hii ya loni mambo yangekua poa sana.
Uza skrini upate hela ununue kifurushi.
 
Hivi hawa azam kwa nini hawakuanzisha huduma ya kukopa kifurushi kama tunavyoona kwa mitandao ya simu nipige tafu ama nivushe ?
yani niko home kingamuzi kimekata afu sentano sina nawaza hapa nitaonaje simbadei.
kadiri muda unavyokwenda ndio naona simbadei ishanipita hivyo.
endapo wangekua wana huduma hii ya loni mambo yangekua poa sana.
Azam wanaweza wakalichukua hili kama wazo..ukawa mkopo lkn iwe kama ofa kulingana na historia ya ulipaji wako..mfano kama ww mara nyingi unalipia kifurushi cha elf 13 basi mkopo wako utakuwa huo huo, pia kama ww unapitishaga hadi miezi mitatu bila kulipia basi unakua umekosa vigezo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom