Mkopo binafsi (personal loan) kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati

Hati ndio uthibitisho wamwa umiliki mkuu nadhani unalijua Hilo. Hiyo nyumba hata kuuzika haiuziki sembuse mkopo?
 
Uthibitisho wa Kiongozi wa serikali ya mtaa inatosha kuwa uthibitisho wa kuchukulia mkopo.
 
Haiwezekani Mkuu watahakikishaje hiyo ni nyumba yako Mkuu na siyo ya BAK? Tafuta tittle deed kama itawezekana.

Tushauriane hapa wataalam na wenye uzoefu na uelewa usio na shaka wa masuala ya mikopo na walioko kwenye sekta au taasisi binafsi au za serikali upande wa mikopo

Ya kwamba waweza kupata personal loan kwa kutumia nyumba isiyo na hati. Je, ni wapi au taasisi gani inaweza kupatikana huduma ya namna hiyo?
 
Kama uko na offer unaweza kwenda benki chukua mkopo ila kiasi utakachopewa hakitozidi mill 30 ila ukipata hati kuanzia 50mill mpaka unapotaka ww
 
Back
Top Bottom