Mkono wa amani una nguvu zaidi ya risasi kadhaa.

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,164
Mwanadada manusura wa Risasi Pakistani Malala Yousafza alisema akihutubia UN," Walidhani risasi zitatuliza(Kutetea haki zao) Lakini walikwama...unyonge,uoga na kutokuwa na matumaini vilikufa. Mshikamano,Nguvu na ujasiri vilizaliwa"
Nayaona maneno hayo yakiishi kwa Lissu na wapenda haki wengi.

Tujivunie umoja ,amani ya kweli tuache visasi na siasa za kishamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanadada manusura wa Risasi Pakistani Malala Yousafza alisema UN," Walidhani risasi zitatuliza(Kutetea haki zao) Lakini walikwama...unyonge,uoga na kutokuwa na matumaini vilikufa. Mshikamano,Nguvu na ujasiri vilizaliwa"
Nayaona maneno hayo yakiishi kwa Lissu na wapenda haki wengi.

Tujivunie umoja ,amani ya kweli tuache visasi na siasa za kishamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia hapo kwenye ..."siasa za kishamba"...!
 
Umoja na amani haupo tena hawa wahuni, majizi waovu wameshavuruga vyote.

Mwanadada manusura wa Risasi Pakistani Malala Yousafza alisema UN," Walidhani risasi zitatuliza(Kutetea haki zao) Lakini walikwama...unyonge,uoga na kutokuwa na matumaini vilikufa. Mshikamano,Nguvu na ujasiri vilizaliwa"
Nayaona maneno hayo yakiishi kwa Lissu na wapenda haki wengi.

Tujivunie umoja ,amani ya kweli tuache visasi na siasa za kishamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikati tamaa kamwe katika mapambano na hawa madhalimu. Wameshaanza kuweweseka ndiyo sababu wanakuja na miswaada nduli kila kukicha ili kuminya haki na uhuru wetu kama Watanzania.

Alutta continua! CONTINUA!

Ni dhambi kukata tamaa. Tuzidi kudai Katiba bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom