Mkonga wa mawasiliano

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,509
7,532
kuna mkonga wa mawasiliano wa optic fibre ambao nimeona baadhi ya sehemu kukichimbwa kuupitisha. naomba kufahamishwa hapa nchini kuna mikonga mingapi ( yaani umiliki wake) ambayo inasambazwa maeneo mbalimbali. je, ule mkonga wa baharini wa kampuni ya zantel ( au ambao zantel wamehusishwa nao) unahudumia wateja gani, na kwa ujumla ipo mikonga mingapi iliyoletwa nchini kupitia chini ya baharini kuunganisha Tz na nchi nyingine?
 
toka niaze kusikia izi habari wala hatuoni kinachoendelea aya updates basi!!
 
unaitwa mkongo wa taifa ambao ni wa serikali lakini upo chini ya ttcl ambao wanauziwa makampuni kama ya simu kuweza kuwafikia sisi wateja wadogo na taasisi kubwa kubwa kama mabenki nk
 
Back
Top Bottom