kunywa maji mengi sana......isiposaidia jiandae kuwa a big fan of yanga!
Du!kunywa maji mengi sana......isiposaidia jiandae kuwa a big fan of yanga!
Nakojoa mkojo wa njano sana. Kubadilisha mazingira kunaweza sababisha hivyo? Naogopa.
Nakojoa mkojo wa njano sana. Kubadilisha mazingira kunaweza sababisha hivyo? Naogopa.
mpendwa;Nakojoa mkojo wa njano sana. Kubadilisha mazingira kunaweza sababisha hivyo? Naogopa.
Nakojoa mkojo wa njano sana. Kubadilisha mazingira kunaweza sababisha hivyo? Naogopa.
mpendwa;
najua wengi kunywa maji ni mjadala , lakini kwa maelezo yako, jaribu kunjwa maji angalia nusu chupa kipimo cha chupa ya maji ya kilimanjaro ml. 500, kila baada ya saa 1 kwa siku nzima, kwa hakia mkoja utabadilika , na baada ya hapo jipangie masaa angalau every 2 hrs , then after kunjwa kwa mpangilio angalau 2 liters a day.
good luck
pata zaidi kuhusu maji hapa Water: How much should you drink every day? - MayoClinic.com