Mkojo wangu..

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,188
Nakojoa mkojo wa njano sana. Kubadilisha mazingira kunaweza sababisha hivyo? Naogopa.
 
kama ni wa njano sana na unauma kdg ukikojoa kindly go to hosp and check for urine for routine to rule out is not UTI.
 
si uende hospitali dada ......unaogopa nini? au hupendi kula dawa?
 
Kama huumii wakati unakojoa basi kunywa maji mengi, and eat healthy mostly veggies and less white starch....but if condition doesn't improve, go see the doctor....kama unaumia, don't waste time reading JF views, you must see the doc asap
 
Nakojoa mkojo wa njano sana. Kubadilisha mazingira kunaweza sababisha hivyo? Naogopa.

Kama hakuna kitu kinachokuuma, basi una upungufu wa maji mwilini, inakupasa kunywa maji mengi atlest lita 3 kila siku
 
kunywa maji kwa wingi sana sana,kama vipi gonga na lager nyingi utaona mkojo mweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Jamaa anakojoa mkojo wa moto - mweupe kama kawaida vipi inasabishwa na nini?

hana homa yupo normal tu.
 
Nakojoa mkojo wa njano sana. Kubadilisha mazingira kunaweza sababisha hivyo? Naogopa.
mpendwa;

najua wengi kunywa maji ni mjadala , lakini kwa maelezo yako, jaribu kunjwa maji angalia nusu chupa kipimo cha chupa ya maji ya kilimanjaro ml. 500, kila baada ya saa 1 kwa siku nzima, kwa hakia mkoja utabadilika , na baada ya hapo jipangie masaa angalau every 2 hrs , then after kunjwa kwa mpangilio angalau 2 liters a day.
good luck

pata zaidi kuhusu maji hapa Water: How much should you drink every day? - MayoClinic.com
 
ahsante sana mja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom