Nitengenezee kwakweli nahitaji, nimechoka kuishi uswazi. Masharti ni kulamba tu?Unataka kuwa tajiri leoleo umpite Bakhresa?
Au unataka ukurugenzi bandari hata kama wewe no darasa la pili A ndiko ulipoishia? Nakutengenezea dawa, unalamba uteuzi fasta
Eeh sana, hili naliandika kabisa sehem. Najua ipo siku litanifaa tuUmepata somo??!!,
Wala hatuendi makaburini, tunaenda tu bandani kwa Kaka sungura, Kisha tunahamia chumbani, tukitoka huko tayari una tumbo kubwa Kama mkurugenzi wa bandariNitengenezee kwakweli nahitaji, nimechoka kuishi uswazi. Masharti ni kulamba tu?
Yasije kua na ya kwenda makaburini usiku wa manane
Kama una laki na nusu, njooo nkupe mchanguoEeh sana, hili naliandika kabisa sehem. Najua ipo siku litanifaa tu
Hee natoa hela tena? Akati me nataka nipewe za bure bureKama una laki na nusu, njooo nkupe mchanguo
Hakuna free lunch in Africa. Bas tafuta cha ku offer.Hee natoa hela tena? Akati me nataka nipewe za bure bure
Mji mzito sana huu
Kuna mambo yanaendelea kimyakimya na chini kwa chini huku baadhi wakibaki na vucheko baada ya kupiga pesa ya mabwege na huku wengine wakibaki na majuto na kujiapiza kutorudia tena...
Baadhi ya wanaume wenye macho juu Wamepigwa sana kwenye hili jambo.. Naamini hata kati ya wasomaji watakaosoma hii mada ni wahanga wa hili jambo...
Ujumbe wa BABY NINA MIMBA YAKO.. huwachanganya sana mabazazi na wale wanaojiita mabaharia bila kuwasahau wazee wa mjini... Wazee wa bandari... Unapopata ujumbe kama huu toka kwa mchepuko wako ambaye anaweza kuwa mke wa mtu bandia au halisi, mwanafunzi (halisi au bandia) danga nk unachanganyikiwa kabisa.. Cha kwanza kuwaza ni mkewako nyumbani... Mpenzi wako... Kazi yako ama maisha yako....
Kuna wanawake siku hizi hii ndio biashara yao kubwa na inawalipa vizuri tuu.. Unakutana na binti au mdada mzuri kweli unatupa nyavu zinanasa kimaskhara kabisa lakini unapewa onyo mapema... Mimi ni mwanafunzi au mimi nina mtu wangu au mimi ni mke wa mtu.... Bila kutafakari hilo onyo unasema utafanya siri.. Unakubaliwa unakula mzigo kiboya kabisa
Bila kujijua kuwa uko kwenye foleni ndefu ya kubambikiwa ujauzito feki mwanaume kidume wewe unajiachia kwa raha zako.. Ukimhitaji mtoto unampata unakula anasepa. Na anaweza kabisa awe hakusumbui kwa shida ndogo ndogo.... Usijione mjanja ukadhani umepata... Tambua tu umepatikana
Siku yako ya kupigwa ikifika unapata ujumbe mbaya wa ujauzito na unaambiwa wazi kabisa kuwa hayuko tayari kuzaa kwa wakati huo... Kwahiyo mzee inabidi udhamini mchezo... Na ili kukuaminisha mnaenda wote hospital kupima.. Kumbe tayari mwenzako ana kichupa chake cha mkojo wa mtu mwingine kabisa mwenye ujauzito amekificha kwenye chupi yake
Ni wazi hutamsindikiza mpaka chooni hata akikuomba.. Sana sana utaishia mlangoni.. Yeye huko ndani atabadili tu mkojo toka kichupa alichokuja nacho kwenda alichopewa hospital... Majibu yakitoka... Imooo.. ...
Kifuatacho ni gharama za kutoa mimba tena anachagua Marie Stopes.. Ukikomaa kwenda naye mpaka daktari atapangwa...
Baada ya hapo unahudumia 'mgonjwa' na akipona unapigwa chini.. Mchezo unaendelea kwa maboya wengine....
Wanaonunua mikojo ya waja wazito wengi wao sio kwa ajili ya ushirikina bali kwa ajili ya kuwapiga mabazazi... Najua umesoma huku ukikumbuka pesa ulizotoa kwa ajili ya abortion huku ukijisifu kwa wanaume mwenzako kuwa una mbegu Kali sana.. Ukigusa tu kitu na box... unaibiwaaa...Boya WEWE
Labda tufanye deal... Unipe maujuzi then nikishapiga hela ndio nami nitakulipa😃Hakuna free lunch in Africa. Bas tafuta cha ku offer.
kupotea njia ni wakati wa kwenda tuuKuna mmoja alikutana na bandidu kiboko.
Ilikuwa hivi alisema anamimba na ikaonekana amedhamilia yule jamaa akasema niletee majibu akaleta yakisoma jina lake. Hakujua kuwa jamaa alishalizwa . Akachukua lodge akaenda kununua vidonge na kumwambia ameze mbele yake na vingine aweke kwenye ikulu dada akabadilika mara oh nitameza nyumbani mara oh nina aleji ya vidonge mara oh . Jamaa akasema usirudie akamtimua ikawa ndio mwisho.
Na vile vidonge alivyonunua ilikuwa panadol tu ili ajiridhishe
Unaweka bond, nini.Labda tufanye deal... Unipe maujuzi then nikishapiga hela ndio nami nitakulipa
😂😂😂😂😂 Itakua jamaa alishawahi kufanyiwa utapeli ndo maana akawa mjanja. Hapo mdada unaondoka na aibu ya hatariKuna mmoja alikutana na bandidu kiboko.
Ilikuwa hivi alisema anamimba na ikaonekana amedhamilia yule jamaa akasema niletee majibu akaleta yakisoma jina lake. Hakujua kuwa jamaa alishalizwa . Akachukua lodge akaenda kununua vidonge na kumwambia ameze mbele yake na vingine aweke kwenye ikulu dada akabadilika mara oh nitameza nyumbani mara oh nina aleji ya vidonge mara oh . Jamaa akasema usirudie akamtimua ikawa ndio mwisho.
Na vile vidonge alivyonunua ilikuwa panadol tu ili ajiridhishe
Uaminifu tu mkuu, me mwaminifu sana.Unaweka bond, nini.
Ukiwa muaminif sana, duniani, Hutapiga hela. Rekebisha kwanzaUaminifu tu mkuu, me mwaminifu sana.