Mkojo wa mjamzito: Biashara nyingine ya siri isiyojulikana na wengi

Kuna jamaa yangu ndio kagundua jana kuwa alilishwa boko.. Demu alikuwa kajifunga matambara hana mimba wala nini
 
Hatari sana Mshana Jr kwa mambo na story za mjini, yachekesha, huzunisha, lakini yatufundisha....ila kwa wale wa 50+ kama sisi hatuna uhakika kama askari bado active, kidosho wangu kazi anayo kuni convince nimempa mimba...
 
Daah baharia unawaza mwanafunzi ana mimba yako yaan lazima utatoa pesa tu tena bila kinyongo kumbe unapigwa ha ha ha ha!!!
 
Back
Top Bottom