kaachonjo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 203
- 68
Naamini wengi mnafahamu kero ya mkojo ila leo tutazame manufaa yake ikiwa ni fursa nyingine inayoweza kutengeneza ajira mpya kwa mamilioni ya watanzania kwa kutumia technologia rahisi sana.
Tunafahamu kwamba kwenye mkojo au haja ndogo kuna madini (elements) kama calcium, chloride, potassium, sodium, magnesium, urea, creatinine, nitrogen, uric acid, ammonium, sulphates and phosphates pamoja na kiasi kikubwa cha maji hivyo kwa kutumia kemikali hizo tunaweza kutengeneza;
a) Unga wa risasi na milipuko
- hii ni kwa kuwa ndani ya risasi au baruti tunahitaji 75% ya potassium nitrate, 15% mkaa and 10% ya sulfur.
b) Mbolea ya mashambani
- Mkojo ukihifadhiwa kwa wiki sita unaweza kutumika kuongeza kiwango cha nitrogen ambayo huchochea ukuaji wa mimea.
C) Madawa ya binadamu
- Viwanda vingi vya madawa huitaji kemikali kama hizi zinazotokana na mkojo kutengeneza madawa. mkjo pia unaweza kutumiwa moja kwa moja kutibu vidonda kama ilivyo sprit,
D) Maji
- Kiwango kikubwa kilichoko kwenye mkojo kinaweza kuokolewa na kutumiwa katika matumizi mengine ya kijamii na kimaendeleo.
Sasa ili haya yote yafanyike tunahitaji uwekezaji kwenye elimu,ubunifu na utaalam wa sayansi. Makampuni yetu yawekeze kwenye tafiti za vyuo vikuu tulivyonavyo ili tuendeleze technologia na mawazo mapya yanayoweza kuibadili Tanzania ikawa ya viwanda tusiishie kuwekeza kwenye madaraja na majengo tu.