Mkojo (urine) ni fursa muhimu ya kibiashara

kaachonjo

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
203
68
Naamini wengi mnafahamu kero ya mkojo ila leo tutazame manufaa yake ikiwa ni fursa nyingine inayoweza kutengeneza ajira mpya kwa mamilioni ya watanzania kwa kutumia technologia rahisi sana.

Tunafahamu kwamba kwenye mkojo au haja ndogo kuna madini (elements) kama calcium, chloride, potassium, sodium, magnesium, urea, creatinine, nitrogen, uric acid, ammonium, sulphates and phosphates pamoja na kiasi kikubwa cha maji hivyo kwa kutumia kemikali hizo tunaweza kutengeneza;

a) Unga wa risasi na milipuko
- hii ni kwa kuwa ndani ya risasi au baruti tunahitaji 75% ya potassium nitrate, 15% mkaa and 10% ya sulfur.

b) Mbolea ya mashambani
- Mkojo ukihifadhiwa kwa wiki sita unaweza kutumika kuongeza kiwango cha nitrogen ambayo huchochea ukuaji wa mimea.

C) Madawa ya binadamu
- Viwanda vingi vya madawa huitaji kemikali kama hizi zinazotokana na mkojo kutengeneza madawa. mkjo pia unaweza kutumiwa moja kwa moja kutibu vidonda kama ilivyo sprit,

D) Maji
- Kiwango kikubwa kilichoko kwenye mkojo kinaweza kuokolewa na kutumiwa katika matumizi mengine ya kijamii na kimaendeleo.

Sasa ili haya yote yafanyike tunahitaji uwekezaji kwenye elimu,ubunifu na utaalam wa sayansi. Makampuni yetu yawekeze kwenye tafiti za vyuo vikuu tulivyonavyo ili tuendeleze technologia na mawazo mapya yanayoweza kuibadili Tanzania ikawa ya viwanda tusiishie kuwekeza kwenye madaraja na majengo tu.
 
kumbe mkojo ni deal kubwa sikujua aiseee

biashara imeshalipa hii sasa namna ya kuifanya
 
Unajua nimesoma hii thread huku nacheka maada about three or four weeks ago nilikua nikienda kwenye Bar fulani nakuta chooni mikojo ni mingi tu, nikawa najiuliza hivi haukna namna ya kuikusanya hii mikojo na kuifanyia biasahara? yaani u-generate income from urine collection maana naona kama vile pale Bar wanatupa tu ile raw material
 
Kuna sehemu nilishaonaga watu wanachukua mkojo wa ng'ombe na kuuweka (sikumbuki kwa mda gani) kisha wanatumia kama dawa ya mazao haswa mboga mboga
Sijui imekaaje hii mkuu?
 
naamini wengi mnafahamu kero ya mkojo ila leo tutazame manufaa yake ikiwa ni fursa nyingine inayoweza kutengeneza ajira mpya kwa mamilioni ya watanzania kwa kutumia technologia rahisi sana. tunafahamu kwamba kwenye mkojo au haja ndogo kuna madini(elements) kama calcium, chloride, potassium, sodium, magnesium, urea, creatinine, nitrogen, uric acid, ammonium, sulphates and phosphates pamoja na kiasi kikubwa cha maji. hivyo kwa kutumia kemikali hizo. tunaweza kutengeneza
a) unga wa risasi na milipuko
- hii ni kwa kuwa ndani ya risasi au baruti tunahitaji 75% ya potassium nitrate, 15% mkaa and 10% ya sulfur.
b)mbolea ya mashambani
-mkojo ukihifadhiwa kwa wiki sita unaweza kutumika kuongeza kiwango cha nitrogen ambayo huchochea ukuaji wa mimea.
c)madawa ya binadamu
-viwanda vingi vya madawa huitaji kemikali kama hizi zinazotokana na mkojo kutengeneza madawa. mkjo pia unaweza kutumiwa moja kwa moja kutibu vidonda kama ilivyo sprit,
C)maji
-kiwango kikubwa kilichoko kwenye mkojo kinaweza kuokolewa na kutumiwa katika matumizi mengine ya kijamii na kimaendeleo.

sasa ili haya yote yafanyike tunahitaji uwekezaji kwenye elimu,ubunifu na utaalam wa sayansi.makampuni yetu yawekeze kwenye tafiti za vyuo vikuu tulivyonavyo ili tuendeleze tecnlogia na mawazomapya yanayoweza kuibadili tanzania ikawa ya viwanda tusiishie kuwekeza kwenye madaraja na majengo tu
kuna mahali wananiunua mkojo 2000
 
Unajua nimesoma hii thread huku nacheka maada about three or four weeks ago nilikua nikienda kwenye Bar fulani nakuta chooni mikojo ni mingi tu, nikawa najiuliza hivi haukna namna ya kuikusanya hii mikojo na kuifanyia biasahara? yaani u-generate income from urine collection maana naona kama vile pale Bar wanatupa tu ile raw material
hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa babu bwana aisee ni deal hili sema tu nalikalia tu
 
duh! kwa kiasi gani nami nihifadhi
NAWEZA KUWA AGENT WA MIKOJO.."TUNANUA MIKOJO AINA ZOTE,LITA 2000.MAWASILIANO ZAIDI PIGA NO:"MTOA MADA UMEWAZA ZAIDI YA KUWAZA..SEMA SIO MZUNGU TATIZO.NAUNGA MKONO NA FUATILIA ILI TUJUE BIASHARA INAKAAJAAJE,MASHULENI,MAHOSPITALINI ..MIKOJO ITAPATIKANA TU.
 
Back
Top Bottom