Mkojo na Maajabu yake. Tafadhali piga kura yako.

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Ni Tanzania pekee Mkojo una uwezo wa kuunguza nyumba,kuua,na kuchoma nyumba za ibada, kuandamanisha watu n.k....

Nchi nyingine Mkojo una uwezo wa kuacha tu harufu chooni...Tuupigie Mkojo Kura uingie kwenye maajabu 9 ya dunia,tuma neno MKOJO kwenda namba 15578,utakatwa shilingi 500 tu. Au ingia kwenye tovut www.maajabuyamkojotz.com kisha upige kura yako..
 
mi nafikiri tanzania ndio inatakiwa kuingia kwenye hayo maajabu 9 ya dunia na siyo mkojo, mkojo ni mojawapo ya vibweka vinavyoendelea kuifanya tanzania kuwa ya ajabu zaidi duniani.
 
mkojo wa punda wa kitanzania dawa,mkojo wa simba wa kitanzania-marashi,mkojo wa mtu wa kitanzania-chanzo cha vurugu,,,,
 
Liingie kwenye maajabu saba pamoja na lile la watoto kumaliza shule ya msingi wakiwa hawajui kusoma wala kuandika liwe ajabu la nane duniani.
 
Back
Top Bottom