Mkojo kukosa ladha ni dalili ya ugonjwa wowote?

sliding

Member
Mar 3, 2017
82
57
Jf doctors,hivi mkojo kukosa ladha kuwa na ladha ya maji (test less) ni sawa?Au ni dalili ya ugonjwa gani?
 
mi navojua kisukari mkojo wake unakuwa mtamu, na ulio na ladha ya chumvi chumvi ndo mkojo usio na magonjwa. sasa huo wako neutral mmh! hebu onja tena utupe mrejesho sahihi
 
Jf doctors,hivi mkojo kukosa ladha kuwa na ladha ya maji (test less) ni sawa?Au ni dalili ya ugonjwa gani?
Unywaji wako wa maji ukoje?, kama unakunywa maji menhi kuliko yanayotakiwa mwilini ni lazima pia yatoke mengi na yanayoka bila kubeba elements kuyoka kwenye kibofu, yaani yanatoka kama yalivyoingia
 
Back
Top Bottom