News Alert: Mkoa wa Tanga na Pemba Visiwani Zanzibar, hakuna umeme. Ni baada ya kituo cha kupozea umeme kuwaka moto

lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,949
2,000
Tanga transformer inayopeleka umeme miji yote imelipuka. Taarifa kamili inakuja

=====

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WA MKOA WA TANGA NA KISIWA CHA PEMBA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi Wateja wake wa Mkoa wa Tanga na Kisiwa cha Pemba kwa katizo la umeme lililotokea leo saa 2:35 usiku na kusababisha Wateja wetu kukosa huduma ya umeme.

SABABU
Kutokea kwa hitlafu ya moto kwenye kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Majani Mapana.

MAENEO YANAYOATHIRIKA
Mkoa wa Tanga na Kisiwa cha Pemba

JITIHADA Wataalamu wetu na mafundi wanaendelea na kazi ya kuhakikisha huduma ya umeme inarejea kwa haraka.

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Tafadhali usiguse wala kukanyaga waya uliokatika au kudondoka chini, toa taarifa Ofisi za TANESCO zilizo karibu nawe.

Kitengo cha Miito ya Simu 0222194400 na 0768 985100

IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

====

UPDATES:

Tunawataarifu Wateja wetu kuwa huduma ya umeme imeanza kurejea kuanzia saa 3:52 usiku kwa Mkoa wa Tanga
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
4,219

TANESCO wamejirekebisha kiasi hiki? Sio bure lazima wameona raisi ajaye Hana bla blahhh
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,641
2,000
Kumpigia kura Tundu Lisu ni kupiga kura watoto wako wawe mashoga.
umekosa cha kuandika au umekaririshwa
bora ukawahi kupora masanduku ya Urais tu ili ubadili maana ndio zako
kuondeza vituo vijijini na visiwani
MUNGU anakuhesabia siku zako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom