Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
Niko kikazi hapa maswa na meatu kwa takriban wiki mbili sasa.
hukumu ya kupinga matokeo yaubunge wa meatu ilipotoka nimeshuhudia mwamko mpya wa siasa ktk mkoa huu mpya.
Wasukuma ( wanatunzu) hawataki kabisa kusikia CCM .
Katika Mkoa huu CCm ina wabunge wawili tu kamani na Chenge na hawa 2015 kwa mujibu wa utafiti wangu na mahojiano na watu wa rika zote (wawakilishi) wake , waume ,wazee na vijana hawa ndo mwisho wa ubunge wao
watu wamechoka, naona anguko kubwa la kutisha linakuja kuttetemesha chama tawala majira na nyakati zimetimia.