Mkoa wa Simiyu, CCM kwisha!

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,432
992
Niko kikazi hapa maswa na meatu kwa takriban wiki mbili sasa.
hukumu ya kupinga matokeo yaubunge wa meatu ilipotoka nimeshuhudia mwamko mpya wa siasa ktk mkoa huu mpya.
Wasukuma ( wanatunzu) hawataki kabisa kusikia CCM .

Katika Mkoa huu CCm ina wabunge wawili tu kamani na Chenge na hawa 2015 kwa mujibu wa utafiti wangu na mahojiano na watu wa rika zote (wawakilishi) wake , waume ,wazee na vijana hawa ndo mwisho wa ubunge wao

watu wamechoka, naona anguko kubwa la kutisha linakuja kuttetemesha chama tawala majira na nyakati zimetimia.
 
Wahakikishe wanakwenda kujiandikisha ktk daftari la NEC. Wasisahau kushiriki ktk kampeni. Wasipuuze kwenda kupiga na pia kulinda kura zao. Hapo watakuwa wameiua na kuitokomeza kabisa CCM.

Wape salaam za ukombozi on my very behalf!
 
Hili nalo neno hakika wasukuma wamehamasika
 
Niko kikazi hapa maswa na meatu kwa takriban wiki mbili sasa.
hukumu ya kupinga matokeo yaubunge wa meatu ilipotoka nimeshuhudia mwamko mpya wa siasa ktk mkoa huu mpya.
Wasukuma ( wanatunzu) hawataki kabisa kusikia CCM .

Katika Mkoa huu CCm ina wabunge wawili tu kamani na Chenge na hawa 2015 kwa mujibu wa utafiti wangu na mahojiano na watu wa rika zote (wawakilishi) wake , waume ,wazee na vijana hawa ndo mwisho wa ubunge wao

watu wamechoka, naona anguko kubwa la kutisha linakuja kuttetemesha chama tawala majira na nyakati zimetimia.

Meatu ina majimbo mawili jimbo la Meatu linaongozwa na Mhe. OPUKUKWA (Chadema) na jimbo la kisesa linaongozwa na mhe. Mpina (CCM) Mkoa wa simiyu una majimbo 7 manne yako upinzani matatu yako ccm,2015 Mhe Mpina na Ccm jimbo la kisesa wanapigwa chini!
 
Ni mapema mno kui rule-out CCM, miaka mitatu CCM inaweza kujijenga upya na kuchukuwa majimbo yote Simiyu. Take my word.
 
Wee Gamba, Chama chenu cha Mafisadi kimeshindwa kujijenga miaka yote 35 ya uhai wake kije kijijenge miaka 2 na nusu iliyobaki? Au unafikiria kimasaburi? Kweli kaidi hafaidi hadi siku ya Idd!
 
Tatizo ni Wananchi hawawataki hao wabunge lakini wana shida, hawa kina Chenge wana pesa za kumwaga bila Uchungu sababu walizipata bila Jasho kwahiyo wanazigawa kwa wananchi ambao hawampendi watamchagua, labda haujafika vijijini ukaona jinsi wanavyokupa heshima ukigawa hizo shilingi na khanga wanakwenda wanakupa kura

Upinzani, kama wanataka wafanye Tete a Tete
 
Ni kweli kabisa. Ht Bariadi mwendo ni huo huo.
Kutetea gambaz unahitaji moyo km wa Cyprian Musiba au Tambwe Hiza.
 
Back
Top Bottom