Pwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Onyesha basi hiyo National representation imekosekana wapi? Tuna mikoa 31, hebu tuonyeshe mapungufu yapo wapi?
Uongozi wa nchi toka Awamu ya 5 umeanza kukosa NATIONAL CHARACTER.Enzi zile sasa
1. Bitteko-home kabisa
2. Kalemani- Wa sebuleni
3. Mabula- wa nyumbani
Achana na hao wa Shinyanga sijataka kuwajumuisha.
Hongereni Mmawia!
Kanda ya kaskazini bila Tanga; kuna waziri mmoja na manaibu watatu. Hiyo ni mikoa mitatu ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.Hebu tupe idadi ya kanda ya ziwa
Kanda ya kaskazini.
Kanda ya nyanda za juu kusini...
Hizi siasa za kifala, watoto wetu watakuja kutudharau sana
Na tusisahau kwamba mkoa wa mara umetoa Rais kwa zaidi ya miaka 20, waziri mkuu, wakuu wa majeshi, jaji mkuu, na mawaziri wengine wengi. Acheni na mikoa mingine itoe viongozi jmnJumanne Sagini ( Naibu Waziri mambo ya ndani, Mbunge Butiama )
Tuna mikoa 26!na wizara zaidi ya 30,na nafasi manaibu zaidi ya 30,kila mkoa ungeweza kuwa na nafasi za uwaziri kuanzia mbili.mama kachemkaMkoa mzima wa Arusha kuna naibu waziri mmoja tu;
Mkoa mzima wa Manyara kuna naibu waziri mmoja tu.
Hivi mkoa wa Morogoro kuna naibu waziri hata mmoja?
Mkoa wa Tanga kuna mawaziri watatu.
Mkoa wa Pwani ndio kama alivyoonyesha mleta mada.
Hivi tunapeleka wapi nchi katika pande hizo za kisiasa?
Badala ya kurekebisha makosa tunaendeleza kwa kulipisa kisasi?
Tunataka kuwaachia watoto na wajukuu nchi ya namna gani?
Wakati mwingine ni vyema ukaficha upuuzi wako! Mtu anazungumzia mkoa wewe unauliza Kanda! Tukueleweje?Hebu tupe idadi ya kanda ya ziwa
Kanda ya kaskazini.
Kanda ya nyanda za juu kusini...
Hizi siasa za kifala, watoto wetu watakuja kutudharau sana
Mikoa ya Rukwa na Morogoro haijapata waziri wala naibu hata mmoja. Kama yupo naomba nisahihishwe.Tuna mikoa 26!na wizara zaidi ya 30,na nafasi manaibu zaidi ya 30,kila mkoa ungeweza kuwa na nafasi za uwaziri kuanzia mbili.mama kachemka
Nchi inaongozwa na CS mama ni ceremonialPwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Jenister is the next PM1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Kabla ya kustaajabu Tanga kuwepoPwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.