Mkoa wa njombe tunaunga mkoa maamuzi ya kamati kuu dhidi ya zitto na kitila

lutondwe

Senior Member
Dec 20, 2010
150
74
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO MKOA WA NJOMBE.
TAARIFA YA MKOA WA NJOMBE KUUNGA MKONO MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHAMAKUWAVUA UONGOZI MHE.ZITTO NA MHE.MKUMBO KITILA
Kufuatia maamuzi ya kamati kuu yachama chetu kuwavua uongozi waliokuwa viongozi katika nafasi za juu katikachama chetu,chama mkoa wa Njombe baada ya kutafakari kwa umakini wakutosha,tumejiridhisha kuwa maamuzi ya kamati kuu yalikuwa sahihi sana na kweliwapenzi na wanachama toka mkoa wa Njombe tunaipongeza sana kamati kuu kwamaamuzi ya busara.Chama mkoa kimechelewa kutoa tamko kutokana na kuwa na subiraya kufanya mawasiliano na wadau muhimu wa chama katika mkoa wetu.
icon6.png

Tumejitahidi kupata mrejesho tokakata zote za mkoa wetu na sasa tuko huru kabisa na kwa kujiamini kabisa Kwamba maamuziya kamati kuu ni sahihi na tunaunga mkono kwa asilimia mia moja.

Mkoa wa Njombe unaamini kuwamaamuzi yaliyofanywa yamefanyika kwa wakati mwafaka sana na Kwamba maamuzi hayoyamesababisha wananchi wengi kuamini kuwa kwa kuwa tatizo la viongozi hawawalioachishwa nyadhifa zao walikuwa na nguvu kubwa katika chama na kwa kuwakamati haikuangalia nguvu ya watu binafsi basi wananchi wa mkoa huuwanaipongeza sana kamati kuwa kwa kuweka mbele maslahi ya chama badala ya watubinafsi.

Maamuzi yaliyofanywa na kamatikuu yanawaaminisha wananchi wa Njombe kuwa viongozi wakuu wa chama na kamatikuu kwa ujumla imeleta mwamko mpya wa kisiasa na ni fundisho kwa wote waliokuwawanadhani wanaweza kufanya chochote kwenye chama chetu bila kuguswa na mtu.

Mkoa wa Njombe ambao wakati wakuanza kwa mageuzi hapa nchini ilikuwa ngome kuu ya upinzani na Kwamba nguvuhiyo ilipungua kutokana na chama kilichokuwepo kutokufanya maamuzi magumu nakusubiri huruma ya wananchi kutoa majibu ya migogoro iliyokikumba chamahicho.Kwa sababu hiyo basi kama chama chetu kisinge sikia kilio cha wanachamajuu ya kufanya maamuzi magumu kwa mtu yeyote anayefanya makosa ya kudhoofishachama basi uwezekano wa chama kuyumba ungekuwepo.

Kutokana na wananchi wengikufuatilia matukio ya baadhi ya viongozi kwa njia ya media na mitandaombalimbali ya kijamii na kufuatia kuimarika kwa upashanaji wa taarifa katikadunia ya sasa ni dhahiri yale yote yaliyokuwa yanafanywa na wanachama wenzetuwalioachishwa uongozi ndani ya chama hayakuwa siri.

Chama mkoa kinaamini kuwa,kwakuwa tuhuma za wenzetu hawa zilitolewa kwa muda mrefu na Kwamba ushahidi wakutosha ulikusanywa na hivyo pasipo na shaka yoyote haki imetendeka.
icon4.png

Mkoa wa Njombe unasikitishwa kwabaadhi ya wenzetu katika chama na nje ya chama kuendelea kuwalaumu viongoziwakuu wa chama kuwa walitoa shinikizo adhabu hiyo itolewe kitu ambacho katikahali ya kawaida hakiwezi kutokana.

Wanachama na wapenzi wa chamachetu mkoa wa Njombe kinatoa shukrani kubwa kwa viongozi wetu wakuu wa chamahasa Mwenyekiti na katibu mkuu kwakuendelea kusimamia katiba ya chama chetu bila kuyumbishwa na mtu

Mwisho tunamshukuru sana Mungukwa kuhakikisha chama chetu kinaendelea kukua siku hadi siku na kwa kuwaaibishawote wanaotaka kuleta siasa chafu ndani ya chama chetu hasa hoja za udiniukanda na ukabila.Tunawaomba watanzania wote wenye mapenzi mema na mabadilikoya kisiasa hapa nchini waendelee kuunga mkoa jitihada za chama chetu ilikutufikisha katika nchi ya ahadi yenye asali na maziwa.

Alatanga Nyagawa & Raphael Lulandala

Waratibu wa Mkoa wa Njombe.

Nakuja Njombe mwezi huu, tutakutana kwenye vijiwe vya ulanzi tuelimishane.

Siwezikubali kuona ndugu zangu mnatumika
 
Thibitisheni kuwa ni wanachama wa mkoa wa Njombe na sie nyie watu wawili tu maana tumechoka na maneno tumeuunga mkono kumbe huenda hakuna kikao chochote kisheria kilicholazima kukaa ili kubariki maamuzi ya kamati kuu. Kama kuna kipengele katika katiba ya chama chenu inayolazimu wanachama/kamati ya mkoa kuitishwa ili kubariki maamuzi ya kamati kuu basi chama chenu kina kazi ngumu sana na kina safari ndefu mpaka kufikia demokrasia halisi kwa maana si lazima kila mkoa kukubaliana na kinachofanywa na kamati kuu ndo maana huwa kuna katika maamuzi ya demokrasia
 
Nakuja Njombe mwezi huu, tutakutana kwenye vijiwe vya ulanzi tuelimishane.

Siwezikubali kuona ndugu zangu mnatumika
Ha ha ha be mnyalukolo unajuaje kama wanatumika? Usije kuwa wewe ndio unatumika. Nitakuwepo na mimi siku hiyo ili unipe ofa ya lita ya ulanzi mkangafu
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO MKOA WA NJOMBE.
TAARIFA YA MKOA WA NJOMBE KUUNGA MKONO MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHAMAKUWAVUA UONGOZI MHE.ZITTO NA MHE.MKUMBO KITILA
Kufuatia maamuzi ya kamati kuu yachama chetu kuwavua uongozi waliokuwa viongozi katika nafasi za juu katikachama chetu,chama mkoa wa Njombe baada ya kutafakari kwa umakini wakutosha,tumejiridhisha kuwa maamuzi ya kamati kuu yalikuwa sahihi sana na kweliwapenzi na wanachama toka mkoa wa Njombe tunaipongeza sana kamati kuu kwamaamuzi ya busara.Chama mkoa kimechelewa kutoa tamko kutokana na kuwa na subiraya kufanya mawasiliano na wadau muhimu wa chama katika mkoa wetu.
icon6.png

Tumejitahidi kupata mrejesho tokakata zote za mkoa wetu na sasa tuko huru kabisa na kwa kujiamini kabisa Kwamba maamuziya kamati kuu ni sahihi na tunaunga mkono kwa asilimia mia moja.

Mkoa wa Njombe unaamini kuwamaamuzi yaliyofanywa yamefanyika kwa wakati mwafaka sana na Kwamba maamuzi hayoyamesababisha wananchi wengi kuamini kuwa kwa kuwa tatizo la viongozi hawawalioachishwa nyadhifa zao walikuwa na nguvu kubwa katika chama na kwa kuwakamati haikuangalia nguvu ya watu binafsi basi wananchi wa mkoa huuwanaipongeza sana kamati kuwa kwa kuweka mbele maslahi ya chama badala ya watubinafsi.

Maamuzi yaliyofanywa na kamatikuu yanawaaminisha wananchi wa Njombe kuwa viongozi wakuu wa chama na kamatikuu kwa ujumla imeleta mwamko mpya wa kisiasa na ni fundisho kwa wote waliokuwawanadhani wanaweza kufanya chochote kwenye chama chetu bila kuguswa na mtu.

Mkoa wa Njombe ambao wakati wakuanza kwa mageuzi hapa nchini ilikuwa ngome kuu ya upinzani na Kwamba nguvuhiyo ilipungua kutokana na chama kilichokuwepo kutokufanya maamuzi magumu nakusubiri huruma ya wananchi kutoa majibu ya migogoro iliyokikumba chamahicho.Kwa sababu hiyo basi kama chama chetu kisinge sikia kilio cha wanachamajuu ya kufanya maamuzi magumu kwa mtu yeyote anayefanya makosa ya kudhoofishachama basi uwezekano wa chama kuyumba ungekuwepo.

Kutokana na wananchi wengikufuatilia matukio ya baadhi ya viongozi kwa njia ya media na mitandaombalimbali ya kijamii na kufuatia kuimarika kwa upashanaji wa taarifa katikadunia ya sasa ni dhahiri yale yote yaliyokuwa yanafanywa na wanachama wenzetuwalioachishwa uongozi ndani ya chama hayakuwa siri.

Chama mkoa kinaamini kuwa,kwakuwa tuhuma za wenzetu hawa zilitolewa kwa muda mrefu na Kwamba ushahidi wakutosha ulikusanywa na hivyo pasipo na shaka yoyote haki imetendeka.
icon4.png

Mkoa wa Njombe unasikitishwa kwabaadhi ya wenzetu katika chama na nje ya chama kuendelea kuwalaumu viongoziwakuu wa chama kuwa walitoa shinikizo adhabu hiyo itolewe kitu ambacho katikahali ya kawaida hakiwezi kutokana.

Wanachama na wapenzi wa chamachetu mkoa wa Njombe kinatoa shukrani kubwa kwa viongozi wetu wakuu wa chamahasa Mwenyekiti na katibu mkuu kwakuendelea kusimamia katiba ya chama chetu bila kuyumbishwa na mtu

Mwisho tunamshukuru sana Mungukwa kuhakikisha chama chetu kinaendelea kukua siku hadi siku na kwa kuwaaibishawote wanaotaka kuleta siasa chafu ndani ya chama chetu hasa hoja za udiniukanda na ukabila.Tunawaomba watanzania wote wenye mapenzi mema na mabadilikoya kisiasa hapa nchini waendelee kuunga mkoa jitihada za chama chetu ilikutufikisha katika nchi ya ahadi yenye asali na maziwa.

Alatanga Nyagawa & Raphael Lulandala

Waratibu wa Mkoa wa Njombe.
Kwahiyo mkoa wote wa njombe ni Alatanga Nyagawa na Raphael Lulandala?
 
Nakuja Njombe mwezi huu, tutakutana kwenye vijiwe vya ulanzi tuelimishane.

Siwezikubali kuona ndugu zangu mnatumika

Uanze na kuwaambia vle vitendo wanavyo kufanyia uingereza, kisha urudishe hela za rambi rambi ya Mwangosi, labda ndio watakuelewa.
 
Back
Top Bottom