Mkoa wa Mwanza na changamoto zake: Usafiri jijini ni kikwazo kikubwa

Itakua umehadithiwa mkuu. Bajaji zipo. Mfano ukifika pasians stand uliza zilipo bajaji utaonyeshwa,mkolani stand,buhongwa stand etc

Uber sijawahi panda ila bolt ipo tafuta application yao utawapata
Mwanza hakuna bajaj wala uber. Ajabu sana hii.
 
Nimekuwa nikiwafatiliaa wakuu wa mikoa na utendaji wao, Nimejiridhisha kuwa wakuu wa mikoa wana michango mikubwa katika maendeleo ya mikoa mfano Mkuu wa mKoa wa Simiyu...
Kingine cha Ziada ambacho ndo lengo la Mada yangu wakuu wa mikoa wanahusika pakubwa katika kuichangamsha mikoa yao, Wakazi wa Dar Es Salaam nafkiri hapa mtakuwa mnanielewa toka Aondoke MAKONDA mkoa umedolala, hatusikii tena habari Za Dar, Dar haina utofauti na Dodoma...

Nirudi kwenye mkoa wangu wa Mwanza unazidi kukosa mvuto kwa sababu tu tuna mkuu wa mkoa ambaye amelala Sana..

Jiji la pili kwa ukubwa Nchini....

Ubunifu wa Route za daladala achilia mbali Barabara za kuliunganisha jiji tuu ni Kasheshe....uwa najiuliza kuna ulazima mtu anayetoka bwiru kwenda Kisesa apitie mjini, mtu anayetoka Kishili kwenda Nyashishi kwanini apite Mabatini, Mkuyuni....Anayetoka Buzuruga kwenda Buhongwa kwanini Apitie Mjini, ayaa anayetoka Kisesa kwenda Usagara kwanini Apitie Mjini, Kichekesho pamoja na Mwanza kuwa na Hospital kubwa Nyuma ya MUHIMBILI, hakuna ruti ya Daladala ya kutoka popote kwenda hospital pale, si usagara, si airport si kisesa...

MWANZA ROUTE ZA DALADALA NI MBILI TU; KISESA - AIRPORT na KISESA NYANSHISHI ...safari ya dk 20 inakuchukua mpaka saa 1 na nusu Bila Sababu....kuna maeneo mengi mapya lakini huduma za barabara ni changamoto....mfano...

Kisesa, Nyamong'oro, Kishili, Nyasanka Msumbiji, Igombe, TX, Shibula, Mihama, Maduka Tisa, Nyamadoke, Machinjioni, ISEBYA, MAHINA, NYANGOMANGO, LUCHELELE, BULALE, NYANSHISHI
....AYA MAENEO YAKIUNGANISHWA KWA BARABARA MWANZA ITAPIGA HATUA SANA...

KINACHOSIKITISHA HATA VITUO VYA DALADALA ZINAPOISHIA PIA NI CHANGAMOTO IWE PEMBENI YA MJI AU HATA MJINI KATIKATI

KINGINE MWANZA KAMA JIJI TAA ZA BARABARANI NI CHANGAMOTO BARABARA YA AIRPORT KUANZIA KLINIKI MPAKA MWISHO NI GIZA TUPU, BARABARA YA MJINI BUHONGWA GIZA TOTORO....BARABARA KALIBIA ZOOOOOTE GIZA TU.....MPK MJINI KATI BARABARA GIZAAAA....

KIFUPI MWANZA TUPATE MKUU WA MKOA MBUNIFU MJI UTASOGEAA TUPEWE MAKONDA,CHALAMILA, ALLY HAPI, MTAKA MJI UTACHANGAMKA HUUU.....

NAWASILISHA
KASULI
MWANZA IGOMBE
Maneno mengi yote hayo ya nini na lengo lako ni kumpigia chepuo Makonda?
 
Shida mipango miji, ilitakiwa watenge aneo ambalo daladala kutoka kila sehemu ya Jiji ilitakiwa ziwe zinapita Bugando kuendea sehemu nyingine lakini mzigo wote wa daladala lazima upite mjini kati ..Katika miaka hii mitano wasiweke nguvu tu kuweka lami barabara zenye uhitaji hata ku design na kujenga njia mpya ni muhimu zaidi.
Ili kupunguza msongamano pale mjini kati, wangeboresha barabara ya kutoka pepsi kupitia Igogo hadi Bugando kisha Nata, Mambo yangekuwa vizuri mno.Pia Barabara ktoka Buzuruga kupitia Mahina-Bugarika-Bugando, ingekuwa poa sana.
 
Maneno mengi yote hayo ya nini na lengo lako ni kumpigia chepuo Makonda?
Mkuu wa Mkoa ambae anae media attention ndio anae fanya kwazi kwake.
Ili kupunguza msongamano pale mjini kati, wangeboresha barabara ya kutoka pepsi kupitia Igogo hadi Bugando kisha Nata, Mambo yangekuwa vizuri mno.Pia Barabara ktoka Buzuruga kupitia Mahina-Bugarika-Bugando, ingekuwa poa sana.
Yes, yaani hata mchepuko ungeanzia Mkuyuni kabisa, lile eneo la Pepsi yabaki magari ya mizigo. Daladala zinachepukia Mkuyuni, zinaibukia Bugarika, Igogo kwenda Mjini. Na njia ya kwenda mjini kutoka Bugando iongezwe kuwa njia mbili.
 
Mmechagua Wabunge, Wenyeviti wa mtaa na madiwani wote CCM wanashindwa kutatua hizo issue unaenda kumtupia mzigo RC , una akili kweli wewe ?
 
Nimekuwa nikiwafatiliaa wakuu wa mikoa na utendaji wao, Nimejiridhisha kuwa wakuu wa mikoa wana michango mikubwa katika maendeleo ya mikoa mfano Mkuu wa mKoa wa Simiyu...
Kingine cha Ziada ambacho ndo lengo la Mada yangu wakuu wa mikoa wanahusika pakubwa katika kuichangamsha mikoa yao, Wakazi wa Dar Es Salaam nafkiri hapa mtakuwa mnanielewa toka Aondoke MAKONDA mkoa umedolala, hatusikii tena habari Za Dar, Dar haina utofauti na Dodoma...

Nirudi kwenye mkoa wangu wa Mwanza unazidi kukosa mvuto kwa sababu tu tuna mkuu wa mkoa ambaye amelala Sana..

Jiji la pili kwa ukubwa Nchini....

Ubunifu wa Route za daladala achilia mbali Barabara za kuliunganisha jiji tuu ni Kasheshe....uwa najiuliza kuna ulazima mtu anayetoka bwiru kwenda Kisesa apitie mjini, mtu anayetoka Kishili kwenda Nyashishi kwanini apite Mabatini, Mkuyuni....Anayetoka Buzuruga kwenda Buhongwa kwanini Apitie Mjini, ayaa anayetoka Kisesa kwenda Usagara kwanini Apitie Mjini, Kichekesho pamoja na Mwanza kuwa na Hospital kubwa Nyuma ya MUHIMBILI, hakuna ruti ya Daladala ya kutoka popote kwenda hospital pale, si usagara, si airport si kisesa...

MWANZA ROUTE ZA DALADALA NI MBILI TU; KISESA - AIRPORT na KISESA NYANSHISHI ...safari ya dk 20 inakuchukua mpaka saa 1 na nusu Bila Sababu....kuna maeneo mengi mapya lakini huduma za barabara ni changamoto....mfano...

Kisesa, Nyamong'oro, Kishili, Nyasanka Msumbiji, Igombe, TX, Shibula, Mihama, Maduka Tisa, Nyamadoke, Machinjioni, ISEBYA, MAHINA, NYANGOMANGO, LUCHELELE, BULALE, NYANSHISHI
....AYA MAENEO YAKIUNGANISHWA KWA BARABARA MWANZA ITAPIGA HATUA SANA...

KINACHOSIKITISHA HATA VITUO VYA DALADALA ZINAPOISHIA PIA NI CHANGAMOTO IWE PEMBENI YA MJI AU HATA MJINI KATIKATI

KINGINE MWANZA KAMA JIJI TAA ZA BARABARANI NI CHANGAMOTO BARABARA YA AIRPORT KUANZIA KLINIKI MPAKA MWISHO NI GIZA TUPU, BARABARA YA MJINI BUHONGWA GIZA TOTORO....BARABARA KALIBIA ZOOOOOTE GIZA TU.....MPK MJINI KATI BARABARA GIZAAAA....

KIFUPI MWANZA TUPATE MKUU WA MKOA MBUNIFU MJI UTASOGEAA TUPEWE MAKONDA,CHALAMILA, ALLY HAPI, MTAKA MJI UTACHANGAMKA HUUU.....

NAWASILISHA
KASULI
MWANZA IGOMBE
wewe utakuwa ulienda kuiba kuku kwao na Mongella pale kabangaja ukakamatwa.
JPM kesha sema hateuwi wapya labda washindwe au wajiuzulu wenyewe
 
Mkuu wa Mkoa ambae hatumii media attention ndio anae fanya kwazi kwake. Ni mt

Yes, yaani hata mchepuko ungeanzia Mkuyuni kabisa, lile eneo la Pepsi yabaki magari ya mizigo. Daladala zinachepukia Mkuyuni, zinaibukia Bugarika, Igogo kwenda Mjini. Na njia ya kwenda mjini kutoka Bugando iongezwe kuwa njia mbili.
Dah! Hili wazo ni konki.
 
Hiyo ni kazi ya halmashauri ya jiji, mnataka hadi msukumwe na mkuu wa mkoa? basi subirini..
 
Mambo mengine ni Ya ajabu Sana mfano gari za kutoka mjini kwenda Maduka Tisa yanapita Capri Point lakini jiulize yanaenda kufanya nini uko....Hakuna kituo cha daladala uko hata kimoja gari inazunguka tuu inarudi pale pale
Ni saw kabsa sema.. zinapita kule ku balance kilometer na nauli ya Sumatra
 
Mwanza ina shida kubwa ya Maumbile ya Ardhi yaani Milima, Uwepo wa Ziwa Victoria na Hivyo eneo kubwa ni Bonde la Kilimo cha Mpunga/Tope na hatimaye inakuwa ngumu sana kwa Ujenzi wa Miundombinu ukiweka na Changamoto ya Ujenzi holela kutokana na Ubovu wa Kitengo cha Mipango Miji. Kubali kataa eneo lote la Kirumba halifai kwa Makazi maaana ni bondeni palipokuwa pakilimwa Mpunga, Nenda Kisesa, Buhongwa, Airport huko mpaka Kayenze ardhi tope tope tu.
Tukubali kwamba Ilikosewa Tangu Ukoloni kuweka Mji katika eneo hilo kwa uwezo wetu wa Technolojia na Kiwango chetu cha Uchumi. Ilitakiwa Mwanza pawe na Boats, pawe na Barabara za Chini ya Milima na Chini ya Ziwa lkn waaaapi!
Tuvute subira huenda miaka 50 ijayo watoto wetu wanaosoma China leo watafanya mapinduzi ya Miundombinu.
Ukisema hivo unakosea kiongoz maan ingekuwa ni hivo kombe la dunia 2022 lisinge pelekwa Qatar au watu wasingeishi Wales changamot lazm ziwepo ili ubongo ufanye kaz mzee
 
Afadhali huko Mwanza, Dodoma daladala zote zinaelekea sehemu moja tu panaitwa Sabasaba, ukitaka kutoka mtaa mmoja hadi mwingine lazima uende kwanza Sabasaba ndipo upate gari la kwenda sehemu nyingine.
 
Nimekuwa nikiwafatiliaa wakuu wa mikoa na utendaji wao, Nimejiridhisha kuwa wakuu wa mikoa wana michango mikubwa katika maendeleo ya mikoa mfano Mkuu wa mKoa wa Simiyu...
Kingine cha Ziada ambacho ndo lengo la Mada yangu wakuu wa mikoa wanahusika pakubwa katika kuichangamsha mikoa yao, Wakazi wa Dar Es Salaam nafkiri hapa mtakuwa mnanielewa toka Aondoke MAKONDA mkoa umedolala, hatusikii tena habari Za Dar, Dar haina utofauti na Dodoma...

Nirudi kwenye mkoa wangu wa Mwanza unazidi kukosa mvuto kwa sababu tu tuna mkuu wa mkoa ambaye amelala Sana..

Jiji la pili kwa ukubwa Nchini....

Ubunifu wa Route za daladala achilia mbali Barabara za kuliunganisha jiji tuu ni Kasheshe....uwa najiuliza kuna ulazima mtu anayetoka bwiru kwenda Kisesa apitie mjini, mtu anayetoka Kishili kwenda Nyashishi kwanini apite Mabatini, Mkuyuni....Anayetoka Buzuruga kwenda Buhongwa kwanini Apitie Mjini, ayaa anayetoka Kisesa kwenda Usagara kwanini Apitie Mjini, Kichekesho pamoja na Mwanza kuwa na Hospital kubwa Nyuma ya MUHIMBILI, hakuna ruti ya Daladala ya kutoka popote kwenda hospital pale, si usagara, si airport si kisesa...

MWANZA ROUTE ZA DALADALA NI MBILI TU; KISESA - AIRPORT na KISESA NYANSHISHI ...safari ya dk 20 inakuchukua mpaka saa 1 na nusu Bila Sababu....kuna maeneo mengi mapya lakini huduma za barabara ni changamoto....mfano...

Kisesa, Nyamong'oro, Kishili, Nyasanka Msumbiji, Igombe, TX, Shibula, Mihama, Maduka Tisa, Nyamadoke, Machinjioni, ISEBYA, MAHINA, NYANGOMANGO, LUCHELELE, BULALE, NYANSHISHI
....AYA MAENEO YAKIUNGANISHWA KWA BARABARA MWANZA ITAPIGA HATUA SANA...

KINACHOSIKITISHA HATA VITUO VYA DALADALA ZINAPOISHIA PIA NI CHANGAMOTO IWE PEMBENI YA MJI AU HATA MJINI KATIKATI

KINGINE MWANZA KAMA JIJI TAA ZA BARABARANI NI CHANGAMOTO BARABARA YA AIRPORT KUANZIA KLINIKI MPAKA MWISHO NI GIZA TUPU, BARABARA YA MJINI BUHONGWA GIZA TOTORO....BARABARA KALIBIA ZOOOOOTE GIZA TU.....MPK MJINI KATI BARABARA GIZAAAA....

KIFUPI MWANZA TUPATE MKUU WA MKOA MBUNIFU MJI UTASOGEAA TUPEWE MAKONDA,CHALAMILA, ALLY HAPI, MTAKA MJI UTACHANGAMKA HUUU.....

NAWASILISHA
KASULI
MWANZA IGOMBE
Kimya kingi kina mshindo mkuu, unaweza kuona kuwa watu (viongozi) hawajaliona hili, huenda linafanyiwa kazi na matokeo yake yanaweza kuwa makubwa kuliko unavyofikiria (ulivyopendekeza). Mimi nadhani ni suala la muda tu, be patient, haraka haraka haina baraka.
 
Mwanza ina shida kubwa ya Maumbile ya Ardhi yaani Milima, Uwepo wa Ziwa Victoria na Hivyo eneo kubwa ni Bonde la Kilimo cha Mpunga/Tope na hatimaye inakuwa ngumu sana kwa Ujenzi wa Miundombinu ukiweka na Changamoto ya Ujenzi holela kutokana na Ubovu wa Kitengo cha Mipango Miji. Kubali kataa eneo lote la Kirumba halifai kwa Makazi maaana ni bondeni palipokuwa pakilimwa Mpunga, Nenda Kisesa, Buhongwa, Airport huko mpaka Kayenze ardhi tope tope tu.
Tukubali kwamba Ilikosewa Tangu Ukoloni kuweka Mji katika eneo hilo kwa uwezo wetu wa Technolojia na Kiwango chetu cha Uchumi. Ilitakiwa Mwanza pawe na Boats, pawe na Barabara za Chini ya Milima na Chini ya Ziwa lkn waaaapi!
Tuvute subira huenda miaka 50 ijayo watoto wetu wanaosoma China leo watafanya mapinduzi ya Miundombinu.
Hahaha sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom