Abdallah M. Nassor
JF-Expert Member
- Mar 20, 2008
- 600
- 620
Uchaguzi wa mbunge haukufanyika jimbo la Nkenge wilaya ya Misenyi kutokana na kasoro ktk karatas za kura
Amini usiamini, utafiti nilioufanya jana katika vituo mbalimbali vya kupigia kura katika wilaya za Karagwe, Ngara na Misenyi unaonesha 40% ya kura watakazopata CCM zinatoka kwa raia wa Rwanda, Burundi, DRC na Uganda.
Fotokopi za Hati za Uraia na Vibali vya kuishi nchini vya Wageni hao ninazo, na pia fotokopi za kadi za kupigia kura pia ninazo.
amini usiamini, utafiti nilioufanya jana katika vituo mbalimbali vya kupigia kura katika wilaya za karagwe, ngara na misenyi unaonesha 40% ya kura watakazopata ccm zinatoka kwa raia wa rwanda, burundi, drc na uganda.
Fotokopi za hati za uraia na vibali vya kuishi nchini vya wageni hao ninazo, na pia fotokopi za kadi za kupigia kura pia ninazo.
the dreamer nakusikitikia sana. Kuna Watanzania kweli wanasingiziwa kuwa si raia, lakini je wale wenye vyeti vya kupiga kura Uganda na Tanzania hao ni raia wa nchi gani? Pia wanaishi kwa Residence Permit hivi hawa kweli ni raia? Wanyarwanda nchi yao inaruhusu Dual Citizenship, Tanzania hatuna hiyo lakini jamaa wamepiga kura. Kubali au kataa, Wageni wameipa kura CCM
Naamini maneno yako lakini labda iwe mijini maana vijijini hiyo ni ngumu