chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,709
nimefurahi sana kuja mkoa huu tena bukoba na kwenda kutembea vijiji vya ndani ndani kabisa.
katika vitu tanzania tumebarikiwa mikoa yote kuwa na maeneo mazuri yenye rutuba na vyanzo vya maji sehemu kubwa kama mito na maziwa.
swala la umeme kwa serikali imejitahidi kupeleka vijijini ndani kwa asilimia kubwa kabisa.
changamoto za mkoa wa kagera :
uwekezaji ni wakusita sana baadhi ya maeneo kama viwanda vya kuzalisha.
tunafahamu mkoa wa kagera kuwa na mazao makubwa kama ndizi,maharage,kahawa na vanira.
ila nitapenda kueleza zao la ndizi kwa mkoa wa kagera.
nimejifunza kitu kimoja nchini mexico kwenye mmea wa katani kuzalisha kinywaji ambacho kwa jina takila.
kagera ina aina ya ndizi ambazo zinatengeneza wiski au gongo ambayo kama kiwanda kikiwepo basi na sisi tanzania tunaweza kushindana na zile pombe kali pure.
achana na haya mapombe ya kemikali yana mix na vionjo.
wawekezaji wa hii kama mtakuwa mnaelewa.
changamoto ya kagera 2
swala la ufugaji linakuwa kwa kasi na idadi ya mifugo kuongezeka kwa kasi.
mifugo imekuwa mingi na mengine kutokea nchi jirani na kuharibu asili ya maeneo.
changamoto ya kagera 3
wakulima wengi bado elimu ya kulima ni ndogo na kushindwa kujaribu aina mazao mengine kukalia zao moja tu.
changamoto ya kagera 4
jografia ya kagera kuanzia barabara ni hatari kama gari breki sio nzuri,unaweza kupata tatizo.