luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,258
Sijawahi fundshwa na Kwa mwalimu wa kihaya, uchagani elimu ipo tangu enzi za mkoloni hadi mtawala wa kichaga mangi mareale alikuwa msomi wa masters degree kutoka Cambridge mwaka 1942Cjui wahaya tuliwakosea nn wakati ata hzo hyo elimu iliyokufkisha hapo ulipo 60% umefundishwa na walimu wa kihaya.
Alafu hzo takwimu za umasikini nafkl wakiofanya utafti kuna kitu wanapungukiwa kichwani sio bule eti kagera ni yatatu kwa umasiki? Kweli akina Jecha wapo kila sehemu.
Nimepiga undergraduate udsm chini ya Prof Mtui na Prof Mushi
Sent using Jamii Forums mobile app