Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

Kikwete amsaidie huyo mama SSH,hao wapuuzi hata chanjo za awali hawana kwani kwao hawakuwa na compulsory ya chanjo ni East African ya Kenya,Uganda,na Tanzania.
Hawa watu siyo wa kuchekea .
Hahahaa unajua nyinyi jirani zangu mna taabu sana! Ila hakuna tatizo maana hamna threat yeyote kwa ukanda wa ziwa na nchi kwa ujumla!
 
Tuliza mshono tuchukue karagwe kama tulivyowatoa kyamuyorwa. Sasa hivi tunawafundisha kulima mpunga. Miaka 15 mbele Karagwe yote itakuwa sukumaland. Chezea kabila kuu weye.
Wasukuma mnakimbia maisha magumu na njaa huko kwenu kila mnakoenda mnaeneza umaskini maana USUKUMA = UMASKINI
 
Kagera sasa ni ya mwisho kila kitu. Wala hakuna anayefikiria kuhamia huko. Poleni sana migomba huko Kiziba na Bugabo hoi kwa njaa kali. Ndoo maana mmetapakaa Sukumaland kutafuta maisha
Nimekwambia asilimia kubwa ya wasukuma ni maskini, tazama Mwanza lids ya kuwa jiji lakini wilaya zake pembeni za wasukuma ni maskini ndo maana na Mwanza inaonekana maskini the same kwa Shinyanga ina manispaa 2 lakini hoi, Tabora na simiyu hivo hivo
 
Kagera sasa ni ya mwisho kila kitu. Wala hakuna anayefikiria kuhamia huko. Poleni sana migomba huko Kiziba na Bugabo hoi kwa njaa kali. Ndoo maana mmetapakaa Sukumaland kutafuta maisha
we jamaa unachekesha, hujui kwamba mikoa ya wasukuma ndo maskini nchi hii, sasa hivi mnakimbia njaa huko kwenu ndo maana mmetapakaa kila kona ya nchi hii.
 
Tuliza mshono tuchukue karagwe kama tulivyowatoa kyamuyorwa. Sasa hivi tunawafundisha kulima mpunga. Miaka 15 mbele Karagwe yote itakuwa sukumaland. Chezea kabila kuu weye.
Miaka 15 mbele Karagwe itakuwa imerudi nyuma kimaendeleo maana imevamiwa na maskini wenye njaa
 
Ni suala ambalo halina mantiki lakini sidhani kama Maza ana uwezo wa kulikataa ndio maana nikapendekeza compromise ya kuunda mkoa wa Chato bila kumega Kagera.

Solution nyingine ni kubadili jina la mkoa wa Geita uitwe Chato.

Safi kweli umewaza vyema " Geita iitwe Chato"tuone watalalamika nini, wataanza harakati za chato iwe jiji
 
Hiyo mikoa uliyoitaji haikumegwa bali iligawanywa kuwa 1 kwa mbili ndani ya mkoa mama na hawamega mkoa jirani bali waligawanya mkoa husika baada ya kuona mkubwa sana. Mfano Iringa iligawanywa na kuwa na mikoa miwili yaani Iringa na Njombe na hakuna mkoa wowote jirani ulimegwa
John Chenge alipigania na Alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao BARIADI ukaitwa Mkoa wa SIMIYU aliimega Mwanza na Shinyanga.

Edward Lowasa alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao MANYARA aliiimega Arusha.

MIZENGO PINDA alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao KATAVI aliiimega RUKWA.

Njombe ilianzishwa kwa Mkoa wa Iringa kumegwa. Mikoa yooote hii imeanzishwa 2012 au kabla.

Mkoa wa CHATO ili nao uanzishwe sharti mikoa jirani ya Geita na Kagera imegwe kwani siyo jambo geni halijaaanza leo wala jana. Pia MAGUFULI siyo Kiongozi wa kwanza kuanzisha Mkoa kwenye eneo alikozaliwa. Nimeweka Viongozi wengine hapo juu ambao wameanzisha Mikoa mipya kwenye maeneo walikozaliwa.
Tunapoijadili CHATO Tuangalie utimilifu wa vigezo vya kuanzisha mkoa bila kujali MUASISI, KABILA wala Ushabiki wenye mihemko vinginevyo hatujadili hoja bali viroja.
 
Siyo kweli mbona Simiyu ilimega Shinyanga na Mwanza ? Geita nayo ikamega Shinyanga Mwanza na Kagera.
Hiyo mikoa uliyoitaji haikumegwa bali iligawanywa kuwa 1 kwa mbili ndani ya mkoa mama na hawamega mkoa jirani bali waligawanya mkoa husika baada ya kuona mkubwa sana. Mfano Iringa iligawanywa na kuwa na mikoa miwili yaani Iringa na Njombe na hakuna mkoa wowote jirani ulimegwa
 
Siyo kweli mbona Simiyu ilimega Shinyanga na Mwanza ? Geita nayo ikamega Shinyanga Mwanza na Kagera.

..Je, mkoa wa Chato hauwezi kuundwa bila kumega mkoa wa Kagera?

..nashauri mkoa wa Chato uundwe kwa kumega mikoa ambayo imeridhia zoezi hilo. Kwa mfano, Geita wao wameridhia.
 
Siyo kweli mbona Simiyu ilimega Shinyanga na Mwanza ? Geita nayo ikamega Shinyanga Mwanza na Kagera.
Mkuuu hao lengo lao ni kufuta Legecy ya Hayati JPM huna haja kutafuta Ligi na wao, vichwani mwao washajenga kubeza kubeza tu usipoteze muda nao.
 
Hakuna cha chato ni takatifu, wahaya hatutaki wamege mkoa wetu iwe mvua au jua lazima tulipiganie hili, kwanza serikali ilishatutenga zamani, kitakachofuata mbeleni huko ni sisi kuangalia namna ya kuwa nje ya Tz. Na tena wakijichanganya wakaingiza ukabila kwenye hili sakata moto utakaovuka Kagera mbeleni utaenda kulikosesha taifa amani, chonde chonde taasisi zetu za ulinzi na usalama liwekeeni taswira hili suala mkizubaa halitakuwa na mwisho mzuri kwa sasa na siku zijazo.
Kigoma na Kagera hii mikoa ni kama ilisuswa. Huwa hata sielewi kwanini
 
Hacha kujitutumua wewe, kagera umeizurura kufanyaje ndugu nyinyi ndiyo wakimbizi mnaofanya wizi na unyanganyi kagera, kwamba ukisema umeizurura uogopwe au. Kuhusu kujitenga walikuwa wapi miaka yote, kwa nini mumesubiri mlivyopata MADINI, watus na wahatu tangia lini wakawa na utu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Huyu msukuma anacheza ngoma asiyoijua.
Hii ni ajenda ya wahutu na watusi.
Haya ma mtu makatili yameua sana Kagera na Kigoma na kupora mali na mifugo.
Ngoja wajinyakulie mkoa baadaye waanze kudai jamhuri yao. Shenzi kabisa
 
Why Kagera isimegwe?

Yaani kuna hoja gani ya msingi Kagera isimegwe?
likewise Kuna ulazima Gani wa kuunda Mkoa masikini kiasi kile unaoitwa Chato?! Watu hawajiwezi, hawana Elimu, hawana raslimali, uchumi Duni, kwani ukiunda Mkoa ndio utabadilisha Hali hiyo au ni kuongeza gharama za Utawala tu! Nonsense.
 
Kaka hachana na wahuni wa chadema. Hawa ni wahuni kabisa. Wana macho lakini hawa oni wao kutwa kucha ni Magufuli wakati Magufuli hayupo.

Mwenyekiti wao yupo gerezani lakini wameshupalia Magufuli utadhani Magufuli ndio kamweka gerezani.

Magufuli atakumbukwa na watanzania wengi kwa mema aliyotutendea ila wahuni wachache ndio watamvunjia heshima Yake.

Nchi yetu sasa hivi IPO ipotu ni kama tumeachwa Yatima wahuni wamerudi kwa kasi nandio chadema inaendesha maisha kwa kutegemea dili zao hawana uzalendo wowote hawa mzalendo wa ukweli alikua Magufuli nchi hii.
Mafii yake! uzalendo akaufanyie jehanamu basi!
 
Maeneo yote ya makaburi (Cemeteries) nchi nzima yaitwe Magufuli kumuenzi vizuri!
 
Back
Top Bottom