Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Ndo ivo, kama jedwali linavyoonesha hapo chini... Hongereni wananchi wa Chato mliokuwa mmesahaulika miaka nenda, rudi....
Hongereni pia wananchi wa Kigoma kwa kukumbukwa, mbali na Chato, Kigoma nayo imepata pesa nyingi sana kwa ajili ya umeme wa vijijini...
Inavyoelekea huu utakuwa mwaka wa neema kwa umeme wa vijijini... Pongezi kwa Rais Magufuli... Naomba usimamie jitihadi hizi za kupeleka umeme vijijini... Najua upendeleo wa 'Mkoa wa Chato' umetokana na kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Geita ambao lilikuwa kama pori tu kwa miaka nenda rudi... Sasa baada ya mwaka mmoja, Geita itang'ara...
Pongezi sana kwa Mheshimiwa sana Raisi Magufuli... Chapa kazi... Japo tunakusema sema kidogo kwa upendeleo wa jimbo lako la zamani, sio dhambi. Hata kina Kikwete, Mkapa and the like walitoa upendeleo kwanye mikoa yao...