Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una Mbunge mmoja tu!

Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una mbunge mmoja wa jimbo la Ubungo, Mh. John John Mnyika! Anayebisha amtaje mbunge mwingine kama yupo tofauti na Mnyika.

safi sana mkuu kwani haya ndio mawazo yakujenga tunayoyataka na Mungu wa Israel akubariki. Amen
 
Kuna mbunge wa jimbo la Kigamboni Mh. Dk. NDUGULILE (gamba) nae hasikiki kabisa au nae Kaenda kwenye Mgomo wa madaktari wenzake?

Kwani wanakigamboni wanategemea kuwa anaweza kuwsaidiana nao kuleta tija katika matatizo yao huyu?
 
Back
Top Bottom