Mkoa mpya wa geita gizani kwa saa 34 sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkoa mpya wa geita gizani kwa saa 34 sasa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanamapinduko, Nov 16, 2011.

 1. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Niko Geita kwa shughuli binafsi lakini toka nimefika hakuna umeme. Wenyeji wanasema ni saa la 34 mpaka muda huu hakuna umeme hakuna taarifa. MSEMAJI KAMPUNI YA UGAVI WA UMEME KULIKONI?
   
 2. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  cha ajabu ni nini? Tanzania iko gizani tangu June
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  hujui kama songas imelipuka moto jana. mgao ndo umeanza hivyo kamanda, nunua tu mishumaa
   
 4. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  janga la kitaifa hilo mkuu
   
 5. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  kusema ukweli hii mikoa na wilaya plus majimbo mapya ya uchaguzi yanatutia umasikini tu ndugu zangu. mkinipa urais leo mikoa itarudi 21 na wilaya zake za zamani 126 kama siko wrong. na ndiyo zitakuwa majimbo ya uchaguzi na mbunge asiyeweza asiombe ubunge. hakuna haja ya kuwa na wabunge 350 wakati hatuna uwezo hata wa kujitosheleza bajeti yenyewe. inatia hasira. acha umeme usiwepo tu. ghrrrr
   
 6. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Waambie ndio wamekaribishwa hivyo Tanganyika, si mkoa mpya huo?

  Wangojee Reactor itoke nje
   
Loading...