Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,661
8,655
Bila hofu yoyote mtakua fresh nyote ambaye hayuko poa pole yake

tuambie ni mkoa gani ambao una ongoza kuwa na watoto wakali a.k.a wazuri (warembo)? Hapa Tanzania
Karibuni sana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom