Umefeli mkuumimi ndiye josevarest wa hi thread
Sumbawanga ni kwetu,kiukweli hakuna warembo.. usije ukawaacha watu wakaamini kua kuna warembo,sehemu zenye warembo ni mikoa ya kaskazini mfano:Arusha,Manyara na katikati ya nchi kama Singida.Sumbawanga...
Kweli mkuu kunajamaa kaniwahiUmefeli mkuu
ahaha lolSumbawanga ni kwetu,kiukweli hakuna warembo.. usije ukawaacha watu wakaamini kua kuna warembo,sehemu zenye warembo ni mikoa ya kaskazini mfano:Arusha,Manyara na katikati ya nchi kama Singida.
Kuna mkoa unaitwa "Sumbawanga" tanzania hii???Sumbawanga...
Mbeya hamna kitu kabisaKilimanjaro arusha na mbeya