Mkoa gani kuna wafugaji wa ng'ombe wengi, ambapo nitaweza kununua maziwa kwa wingi kuanzia lita 500 nakuendelea?

heavens

Member
Jul 16, 2018
36
29
Habari zenu wana hili jukwaa?

Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwa Mzee Kikwete, Msoga, anaweza kukupatia.
 
U
Habari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Una offer ya shillingi ngapi kwa Lita?
 
Nenda SIMIYU, ngombe wa kienyeji na maziwa halisi, toa bei nzuri tu acha magumashi, lita TZS2000/- no water or anything added
 
Habari zenu wana hili jukwaa? Mimi ninaishi Dar, natafuta mahala au mkoa ambao una wafugaji wengi wa ng'ombe ambapo nitaweza kununua maziwa mazuri kuanzia lita 500 na kuendelea, nina prefer mkoa/mahali karibu na Dar ili usafirishaji wake usiwe wa umbali mrefu kutokana na bidhaa yenyewe, ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupatiaa maziwa Kibaha, Picha ya ndege. Lita shillingi 2,000/= kama upo tayari sema. Unataka kwa muda gani?

Habari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo tukuyu

Tukuyu lita 1000 Tsh tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom