Mkoa gani ambao unashika nafasi ya mwisho kimaendeleo

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,629
Katika mikoa yote ni mkoa gani tanzania uko nyuma kuliko mikoa yote kiuchumi

Vgezo
Idadi ya watu
Social services
Miundo mbinu
Vivutio vya kitalii

1.Iringa
2.Njombe
3.Mbeya
4.Songwe
5.Ruvuma
6.Morogoro
7.Pwani
8.Tanga
9.Kigoma
10.Mara
11.Kilimanjaro
12.Manyara
13.Arusha
14.Dar es Salaam
15.Tabora
16.Dodoma
17.Singida
18.Geita
19.Kagera
20.Lindi
21.Mtwara
22.Katavi
23.Rukwa
24.Unguja
25.Pemba
26.Mwanza
 
Attachments

  • images%20(4).jpeg
    images%20(4).jpeg
    22.7 KB · Views: 57
Wewe kwanza rekebisha title yako hapo juu.

Kimaendeleo ni neno moja, sasa wewe unaandika " kima endeleo" Seriously?
 
Wewe hilo tu ndo umeliona.... Una mtazamo hasi... Ungejibu kwanza content ndo unirekebishe

Mkuu.

Sio kila anayekurekebisha ana mtazamo hasi, sio kweli. Mimi sikuona chakuchangia nimeona hayo makosa basii!

Bure kabisa.
 
Ko ese nzima hujaiona umeona kwene ako kakosa duuuhh!!

Nilchosema cha weza kua sahihi... Usikatae kifanyie kaz
Mkuu.

Sio kila anayekurekebisha ana mtazamo hasi, sio kweli. Mimi sikuona chakuchangia nimeona hayo makosa basii!

Bure kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom