Mko wapi nyie¿? Mbona hatuonani?

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
474
188
Kuna madogo walikuwa wanaingie 1st year mwaka huu wengine waliahidi kujenga nyumba kwa hela ya boom, kununua mbuzi wa kufuga, kusomesha wadogo zao, n.k. Mbona hamleti ripoti ya hayo yote?? Au hata pesa ya "Bando" mmekosa tuwatumie?¿
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom