Mkitaka Kuwatia Pingu Viongozi Waliopita Shindeni Uchaguzi

Winning team? Ungejua sasa hivi nafikiria namna ya kuongoza upinzani na kuachana na wapinzani uchwara hujui tu.
Kuwa mwananadharia mzuri hakukufanyi kuwa kiongozi mzuri. Zitto sasa anaelewa vizuri zaidi gharama za kuanzisha na kujenga chama kuliko hapo awali. Hata wewe utaelewa tu.
 
Ukishazoea uongozi mbovu ni vigumu kuona uongozi mzuri. Muda tu upite kizazi kipya cha viongozi kinaandaliwa jangwani.
 
Siasa za nchi hii ni ngumu sana, Siku nyingine wanatajwa mafisadi, siku nyingine wanaimbiwa nyimba za sifa, ni hao hao tena wanataka washtakiwe. na huko huko waliko pia kuna minyororo imeunga na ccm.

Labda mi niseme tu kwamba, hata hii leo upinzani ungekuwa madarakani usingefanya lolote la maana, maana kwa kufanya haya wanayoyapigania mengine yangewatia kitanzini wenyewe.

Ni mpinzani yupi angepeleka mabadiliko ya sheria ambayo yangepelekea vigogo waliohamia kwao kutiwa hatiani.

Wacha Magu afanye kazi, yale mazuri tuungane naye, yale mabaya tuyakosoe kwa staha siyo kejeli za aina ya the so called msomi. kuwa msomi ni pamoja na kuwa na staha.
 
Kaka natamani ungeongeza maneno machache yanayoendelea kwenye hizo nukta nipate mtazamo wako kuhusiana na hoja za Mzee Mwanakijiji.
Mzee Mwanakijiji ni one among the best tacticians we have humu jf. Ukijua kusoma the motive behind baadhi ya mabadiko yake ni kuchokoza tuu, yaani analeta masikhara ya uchokozi tuu as an agent provocateur ili watu wakasirike na kutoa povu tuu. Miongoni mwa games anazopenda ni boxing of the minds hivyo akikaa muda mrefu bila kuwa punched, ana miss punches hivyo analianzisha ili apate punches na kuwa gratified hivyo the more you punch the more he enjoys and the more gratification he gets. Hivyo hizo hizo lines ni kumjulisha tuu nimemsoma nimempata but no punches!.
Paskali
 
Hahaahaaa, shukrani mkuu.
 
Siasa za nchi hii ni ngumu sana, Siku nyingine wanatajwa mafisadi, siku nyingine wanaimbiwa nyimba za sifa, ni hao hao tena wanataka washtakiwe. na huko huko waliko pia kuna minyororo imeunga na ccm.

Labda mi niseme tu kwamba, hata hii leo upinzani ungekuwa madarakani usingefanya lolote la maana, maana kwa kufanya haya wanayoyapigania mengine yangewatia kitanzini wenyewe.

Ni mpinzani yupi angepeleka mabadiliko ya sheria ambayo yangepelekea vigogo waliohamia kwao kutiwa hatiani.

Wacha Magu afanye kazi, yale mazuri tuungane naye, yale mabaya tuyakosoe kwa staha siyo kejeli za aina ya the so called msomi. kuwa msomi ni pamoja na kuwa na staha.
You are absolutely right!
 
Sasa mzee ata kama upinzani amna hapa nchini petu ndo tuibiwe? au chukulia kua nchi ikaamua kurudi chama kimoja ndo tusirusiwe kuhoji waliotuibia?

Au Raisi anawabagua wezi? au raisi anamaanisha watu wengine hawarusiwi kuwataja wezi mpaka yeye ndo awaseme? Renatus Mkinga afutwe kazi ya uenyekiti wa bodi kwa kuwataja Mkapa na Kikwete wakati raisi wnawajua ni watu safi sana.
 
umeeleweka mtoa mada. jpm tunampa sifa asizostahili.kitendo cha kuwalinda mkapa na jk kimeonyesha wazi jinsi asivyokuwa na dhamira ya dhati ya kupambana na ufisadi.
 
Wakati mwingine nashindwa hata kushangaa ninavyojishangaa. Hivi ni wapi nimesema wapinzani hawatakiwi kuhoji au kuosoa. Bahati mbaya upinzani wetu unaamini hilo ndio jukumu lake kubwa na hivyo wamelikubali kwa moyo mkunjufu kuwa wakosoaji wakubwa wa serikali. Na wasipoangalia ndicho pekee wataishia kufanya maana tunaenda miaka ishirini sasa wameendelea kuwa wakosoaji wenye kupokea sifa nyingi za ukosoaji. Ndicho hicho pekee tunakitaka?
 
umeeleweka mtoa mada. jpm tunampa sifa asizostahili.kitendo cha kuwalinda mkapa na jk kimeonyesha wazi jinsi asivyokuwa na dhamira ya dhati ya kupambana na ufisadi.

Jamani, mbona hapa mnamsingizia. Hivi siyo sisi tuliokataa wakati Kikwete aliposema miaka ile kuwa mzee "Mkapa aachwe apumzike"? au tumeshasahau. Huyo huyo ambaye wapinzani wanasema leo wana mmiss?
 
Back
Top Bottom