Mkisema maisha magumu sie tunaokaa Tandale kwa Mfuga Mbwa tuna raha

Uswazi raha sana, kuna mama huwa anauza supu ya 600. Sometimes huwa najiuliza, yeye huyu nyama huwa ananunua wapi?😀😀😀
 
Uswazi raha sana, kuna mama huwa anauza supu ya 600. Sometimes huwa najiuliza, yeye huyu nyama huwa ananunua wapi?
Wanachukua Kama hawa
FB_IMG_16110618348497638.jpg
 
Uswazi raha sana, kuna mama huwa anauza supu ya 600. Sometimes huwa najiuliza, yeye huyu nyama huwa ananunua wapi?😀😀😀

Mkuu huyo anawaibia😂

Huku mtori bakuli500
Chapati mbili 500

Natunakuchomea Yaani"kuongeza mtori wa bure wakumalizia, chapiti ikibaki..😂🤣

Uswazi Raha Sana😁🤗
 
Back
Top Bottom