Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,810 15,398 Nov 24, 2012 #1 Kuna kitu naenda kukorofisha kule jukwaa la siasa. Nishachoka na maisha, na sasa nimeamua kujilipua.............
Kuna kitu naenda kukorofisha kule jukwaa la siasa. Nishachoka na maisha, na sasa nimeamua kujilipua.............
Arushaone JF-Expert Member Mar 31, 2012 15,135 13,254 Nov 24, 2012 #6 :banplease: Shauri yako Mtambuzi.... Ila :ban: la kujitakia?...........Hilo nalo neno mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
:banplease: Shauri yako Mtambuzi.... Ila :ban: la kujitakia?...........Hilo nalo neno mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Oct 3, 2011 5,904 1,976 Nov 24, 2012 #9 Hee! Hiyo kitu chungu mno kumesa.
Asnam JF-Expert Member Jan 18, 2012 4,256 2,944 Nov 24, 2012 #11 wazee wengine wanazeeka vibaya hivi babangu leo mchana umekula nini labda chakula ulichokula kina al-shabaab si bure.
wazee wengine wanazeeka vibaya hivi babangu leo mchana umekula nini labda chakula ulichokula kina al-shabaab si bure.
Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,810 15,398 Nov 24, 2012 Thread starter #12 doup said: Daah! vipi tena mwenzetu? Click to expand... Ndio hivyo tena, najijua mie domo langu hili nikiamua kufunguka, naenda kulianzisha kule na ninajua sitasalimika
doup said: Daah! vipi tena mwenzetu? Click to expand... Ndio hivyo tena, najijua mie domo langu hili nikiamua kufunguka, naenda kulianzisha kule na ninajua sitasalimika
Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,810 15,398 Nov 24, 2012 Thread starter #13 Arushaone said: :banplease: Shauri yako Mtambuzi.... Ila :ban: la kujitakia?...........Hilo nalo neno mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... Nimekuwa nikilikwepa sana lile jukwa lakini sasa nimeshindwa kuvumilia ngoja nikausemee moyo miye....LOL
Arushaone said: :banplease: Shauri yako Mtambuzi.... Ila :ban: la kujitakia?...........Hilo nalo neno mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... Nimekuwa nikilikwepa sana lile jukwa lakini sasa nimeshindwa kuvumilia ngoja nikausemee moyo miye....LOL
Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,810 15,398 Nov 24, 2012 Thread starter #14 BADILI TABIA said: haya, rest in pieces Click to expand... Haitokuwa TOTAL BAN bana, huenda kwa huruma za MODS nikapewamo japo ya wiki moja, si inanitosha kulea mwana na mamaye?
BADILI TABIA said: haya, rest in pieces Click to expand... Haitokuwa TOTAL BAN bana, huenda kwa huruma za MODS nikapewamo japo ya wiki moja, si inanitosha kulea mwana na mamaye?
Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,810 15,398 Nov 24, 2012 Thread starter #16 Dark City said: 40 zimeisha? Click to expand... Bado hazijaisha mkuu, kwani vipi....?
Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,810 15,398 Nov 24, 2012 Thread starter #17 Asnam said: wazee wengine wanazeeka vibaya hivi babangu leo mchana umekula nini labda chakula ulichokula kina al-shabaab si bure. Click to expand... We nawe inahu! Halafu huo mtindo wako hujibu PM za baba yako usiku, kwani huwa unafanyaga nini usiku wakati sijala mahari yangu..!!!!
Asnam said: wazee wengine wanazeeka vibaya hivi babangu leo mchana umekula nini labda chakula ulichokula kina al-shabaab si bure. Click to expand... We nawe inahu! Halafu huo mtindo wako hujibu PM za baba yako usiku, kwani huwa unafanyaga nini usiku wakati sijala mahari yangu..!!!!
Joeli JF-Expert Member Apr 25, 2011 4,941 3,402 Nov 24, 2012 #18 masikini mzee Mtambuzi anajilipua live Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Joeli JF-Expert Member Apr 25, 2011 4,941 3,402 Nov 24, 2012 #19 masikini mzee Mtambuzi anajilipua live Last edited by a moderator: Jan 4, 2016