Mkiona kimya mjue nimepigwa BAN...!

:banplease: Shauri yako Mtambuzi.... Ila :ban: la kujitakia?...........Hilo nalo neno mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
wazee wengine wanazeeka vibaya hivi babangu leo mchana umekula nini labda chakula ulichokula kina al-shabaab si bure.

We nawe inahu!
Halafu huo mtindo wako hujibu PM za baba yako usiku, kwani huwa unafanyaga nini usiku wakati sijala mahari yangu..!!!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom