Mkimbizi kutoka Burundi apata tuzo mwanamke mkimbizi bora mwaka 2017

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mkimbizi mmoja kutoka Burundi, Bella Nshimirimana amepata tuzo ya kuwa mwanamke mkimbizi bora nchini Uganda kwa mwaka 2017, kutokana na mchango wake katika masuala mbalimbali yenye tija kwake mwenyewe na kwa jumuiya nzima ya wakimbizi.

Chanzo: DW
 
Kama alijitoa kwa ajili ya jamii ya wakimbizi ni sahihi kabisa kupata tuzo
 
Back
Top Bottom