Mkilitambua hili mtaacha kasumba za chama kipi ni bora kipi si bora

Gwota

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
205
92
Ndugu wana JF

Hakuna chama cha siasa ambacho ni muhimu kuliko maisha yetu,hivyo basi hakuna haja ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa ikiwa chama husika cha kisiasa kitakuwa na na moja kati ya haya
1. Endapo chama husika cha kisiasa hakichangii maendeleo yako na wala hakirudishi nyuma maendeleo yako (CUF,TLP,NCCR etc)
2. Endapo chama husika cha kisiasa kinarudisha maisha yako nyuma (CCM)
 
Mimi nadhani CDM inataka kurudisha maisha yetu miaka 500 nyuma kwa kuchochea fujo na machafuko hivyo hakuna haja ya kuwa mwanachama wa chama hiki!
 
Kama kutaifisha mashirika ndio sera za CDM,waende zimbabwe! we don't really need that rubbish!
 
Back
Top Bottom