Mkigombana atakae toka ndani ya nyumba ni nani?

Kwanza kabisa siwezi jenga kwenye kiwanja Cha mke wangu. Nitajenga nikishajenga kiwanja changu binafsi hata Kama kwa muda huo sina. Lakini nitatafuta kwa nguvu zote nijenge then nijue lingine.
Mkuu vp kumalzia nyumba ambayo ameanzisha mkeo ni kosa? au kumsapot ata bati na vitu vidogo vidogo? mimi naamin kuwa tunafanya maendleo hasa ujenzi kwa ajili ya watoto pia wasipate shida siku za usoni
 
Mpka Leo yupo mkuu. Kazi yake kuu Sasa ivi Ni kupika, kufua mke anatoka job saa nne usiku. Usiombe yakukute aisee.

Mwanaume panga hata kichimba kimoja tu hata Cha elfu 10. Kama Bado Mambo hayajakaa sawa
Kweli mkuu... Me niliwahi kuwa na manzi anafanya kazii yani sababu ya kimshahara anachopata akaona sijui ntamnyenyekea hatukudumu kwa kwelii
 
Mimi ni muhanga wa hii mada, nyumba yetu tunayoishi tumechangia kujenga na mke wangu, kiwanja tulipewa zawadi baada ya kupata mtoto wa kiume (mjukuu wa kwanza wa baba mkwe), lakini toka mwanzo nilishamwambia mke hii ni nyumba yako, hatuwezi kugombea,nikikushinda nitaondoka, nimejenga kama shukrani kwa kunizalia watoto. Kwahiyo mtu ukijua unachofanya unajiandaa kisaikokojia. Na najua ikitokea nimeondoka atanitafuta ye mwenyewe. Nyumba bila mwanaume lazima ipwaye!
 
Daa hawa watu kuishi nao inahitaji uvumilivu sana aisee.
 
Mimi ni muhanga wa hii mada, nyumba yetu tunayoishi tumechangia kujenga na mke wangu, kiwanja tulipewa zawadi baada ya kupata mtoto wa kiume (mjukuu wa kwanza wa baba mkwe), lakini toka mwanzo nilishamwambia mke hii ni nyumba yako, hatuwezi kugombea,nikikushinda nitaondoka, nimejenga kama shukrani kwa kunizalia watoto. Kwahiyo mtu ukijua unachofanya unajiandaa kisaikokojia. Na najua ikitokea nimeondoka atanitafuta ye mwenyewe. Nyumba bila mwanaume lazima ipwaye!
Ni vema kuwa makini kama askari mstari wa mbele vitani mkuu.Changamoto(nature) inakuja mwanamke akiwa na kitu.Hili jsmbo ni mtihani.Baba yangu alikuwa ananiambia hataki aone naoa kabla sijajenga.Sikumuelewa hapo mwanzo ila sasa nimemuelewa.
 
Umekutana na binti mjini Dar, binti huyu wazazi wake ni wanasiasa tangu enzi za chama kushika hatamu. Wana eneo la heka tano na zimezungushiwa uzio.

Mapenzi yenu yameiva mpaka mnaona. Siku ya harusi mbele ya wageni Baba mkwe kwenye hotuba yake anawapa kiwanja ndani ya eneo lake, kwa tambo anasema wajukuu zake wasizaliwe kwenye nyumba ya kupanga.

Baada ya honeymoon mmepewa guest wing muanzie maisha wakati mnajenga. Mmejenga nyumba imekwisha na mmehamia.

Mmekorofishana kidogo na mke, hali halisi ni kuwa wote mna hasira mmoja wenu inabidi aondoke kwa muda. Kati ya wewe na mke wako ataondoka nani?

Mimi siondoki hata iweje, nitakachofanya ni kumfukuza na kumchapa ile mbaya mke wangu ikibidi hata kumuua kama atazidisha kiburi nitafanya hivyo.
 
ninachokiona hapa kuwa wanawake tunapoamua kujenga nyumba ni kama tunaingilia majukum ya wanaume tunatakiwa tufanye maendeleo mengine na si kujenga kwa kuwa tukijenga nyumba tunakuwa na kauli za ajabu zinazotokana na kujiamini kwa ajili ya nyumba.. niwaakikishie kaka zang na baba zangu pia sio wanawake wote tupo ivo nmejickia vby sn kwa baadhi ya wanawake wanavyotoa kauli chafu kwa waume zao wanasahau UTU NI BORA KULIKO MALI..mim nafanya kw ajili ya watoto wang na mshakaji namuambia kila cku km wazaz wet walifnya kwa ajili yetu na sisi tufanye kwa ajili watoto wet.
 
Kuna mmoja alimpata mdada wa 30+ kanisani. Dada amesoma masters Makerere, ofisini ni head wa department, ana nyumba mbili, Ana mabanda manne ya kuku na kila banda Lina uwezo wa kuchukua kuku 500, ana hiaice mbili za kwenda Bagamoyo.

Kaka alijua amepata kitonga. Alimtamkia mimi ninataka kukuoa. Dada alilia kwa furaha. Kabla ya kuvakishwa pete, yule dada alimwambia hivi vyote ni vyangu. Nyumba zote nitapangisha mimi na wewe tukapange tuanze moja. Ukiwa kama mwanaume ninategemea utakua unachangia kodi kila mwezi.
Ni ngumu sana kutenganisha ubinafsi na mwanamke
 
Kwanza kabisa siwezi jenga kwenye kiwanja Cha mke wangu. Nitajenga nikishajenga kiwanja changu binafsi hata Kama kwa muda huo sina. Lakini nitatafuta kwa nguvu zote nijenge then nijue lingine.
Mimi nilifanya hivyo. Siku ya sendoff mchumba wangu alikabidhiwa hati ya kiwanja mbele ya kadamnasi, wakati huo mwenyewe sikuwa na hata hatua moja ya ardhi, nilikuwa nimepanga chumba na sebule. Mke wangu akaniambia tujenge, nikamwambia kama ana hela ya kujenga aendelee mi nitaendelea kuhudumia familia. Akajenga msingi hela ikakata akaachia hapo. Baadaye na mimi mambo yakaniendea vizuri nikanunua kiwanja, nikajenga tukahamia. Kile kiwanja cha mke wangu nilikuja kumsaidia kumalizia ujenzi baada ya miaka 12 tukapangisha.
 
ninachokiona hapa kuwa wanawake tunapoamua kujenga nyumba ni kama tunaingilia majukum ya wanaume tunatakiwa tufanye maendeleo mengine na si kujenga kwa kuwa tukijenga nyumba tunakuwa na kauli za ajabu zinazotokana na kujiamini kwa ajili ya nyumba.. niwaakikishie kaka zang na baba zangu pia sio wanawake wote tupo ivo nmejickia vby sn kwa baadhi ya wanawake wanavyotoa kauli chafu kwa waume zao wanasahau UTU NI BORA KULIKO MALI..mim nafanya kw ajili ya watoto wang na mshakaji namuambia kila cku km wazaz wet walifnya kwa ajili yetu na sisi tufanye kwa ajili watoto wet.
Ulichotahadharisha na kuasa ni sahihi.Na ukae ukijua watundu,wakorofi,wachoyo,wabinafsi na wenye kila aina ya kero wapo.Kuna kipindi hadi niliwahi kukaa chini na kujiuliza hivi hawa watu wanaonitia hasara na kunifedhehesha huwa "nawaokota" wapi?Hebu tazama:
-mmoja nilimuachia vitu vyote na kuondika kwa kero
-mwingine tulihitilafiana akabeba kila kitu na kuvipeleka kwao
-Huyohuyo wa pili alinilia timing akaondoka na Milioni 6 nilizokuwa nimechukua mkopo.
Halafu kuna watu wanawabatiza wenzao ukorofi?Ningekuwa sina subira saa hizi ningekuwa "the big brothers' house" aka jela.
 
Unadhani Mtani kuna watu huwa hawana hata chembe ya Ubinadamu. Hapo atafurushwa kama mwizi.

Pia naliona ni funzo katoa Da Sky Eclat na Me wengi watajifunza sababu hii huwa haipo kwenye viwanja peke yake.
Hivi una anzaje anzaje jenga kwa mfano; labda kama umeamua jenga kwa ajili ya zawadi ya mke na familia yake. Mimi hata Viwanja vya familia na vikimbia sembuse cha kupewa na mkwe. Siku zote tutafute vyetu wenyewe vya hifadhi na kupewa vina manyanyaso
 
Maisha yanakuwa na maana pale unapofanikiwa almost kila nyanja... Kifamilia, Kula bata, kumiliki Mali, etc.... Unapokuwa umefanikiwa kwenye bata halafu kifamilia umefeli, utafika umri utajutia hali hiyo... Na utawaza labda Kula bata ndo kumesababisha...
kwa nini Afrika mkazo mkubwa ni mambo ya kuzaa na mambo ya familia?!....kwa nini mkazo kama huo hatuweki kwenye mambo ya ugunduzi, democrasia, utawala bora, sayansi e.t.c?!
 
Dada alikua sahihi nakupenda heshima ya mume ishuke
Kuna mmoja alimpata mdada wa 30+ kanisani. Dada amesoma masters Makerere, ofisini ni head wa department, ana nyumba mbili, Ana mabanda manne ya kuku na kila banda Lina uwezo wa kuchukua kuku 500, ana hiaice mbili za kwenda Bagamoyo.

Kaka alijua amepata kitonga. Alimtamkia mimi ninataka kukuoa. Dada alilia kwa furaha. Kabla ya kuvakishwa pete, yule dada alimwambia hivi vyote ni vyangu. Nyumba zote nitapangisha mimi na wewe tukapange tuanze moja. Ukiwa kama mwanaume ninategemea utakua unachangia kodi kila mwezi.
 
Ndoa na mapenzi ni ujinga wa kiwango cha lami ambao unawatesa sana waafrika! inakuwaje mtu unapigania kuwa na mateso badala ya kupigania kuwa na furaha??! kama ndoa zenyewe ndiyo hizi utapata muda wa kwenda kupanda mlima kilimanjaro lini? utapata muda wa kwenda kula bata ngorongoro lini? utapata muda na hela za kwenda likizo norway lini?! Hakuna mistake unaweza kufanya hapo dunia kama kuwekeza muda wako na hela zako kwenye mapenzi na ndoa!
Mapenzi na ndoa is the most reliable asset. Nenda Norway, panda mlima Kilimanjaro, nenda Ngorongoro lakini ni kwenye ndoa na mapenzi utakako pata unconditional love that money can’t buy.
 
Umekutana na binti mjini Dar, binti huyu wazazi wake ni wanasiasa tangu enzi za chama kushika hatamu. Wana eneo la heka tano na zimezungushiwa uzio.

Mapenzi yenu yameiva mpaka mnaona. Siku ya harusi mbele ya wageni Baba mkwe kwenye hotuba yake anawapa kiwanja ndani ya eneo lake, kwa tambo anasema wajukuu zake wasizaliwe kwenye nyumba ya kupanga.

Baada ya honeymoon mmepewa guest wing muanzie maisha wakati mnajenga. Mmejenga nyumba imekwisha na mmehamia.

Mmekorofishana kidogo na mke, hali halisi ni kuwa wote mna hasira mmoja wenu inabidi aondoke kwa muda. Kati ya wewe na mke wako ataondoka nani?

Kwa wanaofata sharia za Kiislam hakuna anaeondoka. Ikibidi talaka imetoka bado unatakiwa uendelee kukaa mpaka eda iishe na kama mmezaa anaondoka mwanamme, mwanamke anabaki na watoto. Hii ni hata nyumba iwe ya mume seuse ya mke.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom