sinyora
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 966
- 1,622
Mkuu vp kumalzia nyumba ambayo ameanzisha mkeo ni kosa? au kumsapot ata bati na vitu vidogo vidogo? mimi naamin kuwa tunafanya maendleo hasa ujenzi kwa ajili ya watoto pia wasipate shida siku za usoniKwanza kabisa siwezi jenga kwenye kiwanja Cha mke wangu. Nitajenga nikishajenga kiwanja changu binafsi hata Kama kwa muda huo sina. Lakini nitatafuta kwa nguvu zote nijenge then nijue lingine.