Mkiambiwa Mtikitila Mpambanaji usibishe..Huyu hapa,msikilize!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkiambiwa Mtikitila Mpambanaji usibishe..Huyu hapa,msikilize!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Feb 27, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  2.jpeg 4.jpeg
  Hii ni interview iliyofanyika kipindi cha uchaguzi miezi 2 iliyopita,nilikuwa nasoma ile thread ya Lyatonga kuvuliwa kofia,sasa na huyu nae ni wa kumvalia kufia kofia kabisaaaa,nimefanikiwa ku-upload hii hapa,hebu sikiliza maghabachori yanavyofuja mafedha yetu,na mambo yote ya muungano,mgombea binafsi,kuvuruga uchafu uliopo(uharahimia wa kisiasa) n.k!!! Tumuheshimu huyu jamaa!! Msikilize hapa:

  Mtikila Interview
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  tatizo la mtikila ni tabia yake ya kutokueleweka. ana tabia kama za james mbatia. tabia za kishosti - shosti
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Mbona siasa zake hazivuki Ubungo mataa mwambieni aende akahutubie Tarime siasa hazifanywi mahakama ya kisutu peke yake.
   
 4. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nini hiyo mkuu?
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  What you have said is absolutely true.
   
 6. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu ikitoka hukumu si inawahusu watz wote, kuliko kwenda musoma pekee yeye anakwenda kwa kila mtz kwa gharama nafuu!
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Toka ahangaike mahakamani ameshaingiza wanachama wangapi DP.
   
 8. D

  Deo JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Imenikumbusha zile kanda zake tulizokuwa tunazisikiliza kwa siri miaka ya 80 mwihoni.
  Japo si kilakitu nakinga mkono lakini ukweli wa upigania haki na upenzi wa nchi ni wa ukweli. Tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu na hata madalali wetu hawana kitu.
  Mchango kwenye lugha ya kiswahili ya maneno gabachori na mlala hoi yatakumbukwa na mwishowe sbabu zake kuenziwa.
  Kwangu mimi angekubali Tanzania na Nyerere ningekuwa mfuasi wake

  Asante
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  He is good but cant be compared to CDM comrades
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  unakumbuka alipobanjuliwa na jiwe la kichogo kule tarime. now i hope u know what i mean dude
   
 11. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha mkuu wakati huo niko UDSM Hall 2 tunasikiliza kanda zake za Ukombozi na kuwaondoa magabachori huku tumevaa Tshirt zake zenye tairi zimeandikwa SAA YA UKOMBOZI NI SASA
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Tunae member hapa ana jina hilo. oooppps!
   
Loading...